Nuru imeangaza juu ya nchi, shangilieni!

Mungu kaskia vilio vya WaTz
(Isaiah 61:1-2)

1: Roho ya Bwana MUNGU I juu yangu; kwa sababu BWANA amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma Ili kuwaganga waliovunjika moyo, KUWATANGAZIA MATEKA UHURU WAO, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao.

2: Kutangaza mwaka wa BWANA uliokubaliwa, na siku Cha kisasi Cha Mungu wetu, kuwafariji wote waliao.

... Mwisho wa kunukuu....

Na wote tuseme Aamin 🙏 2025
 
Salaam!

Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,

Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.

Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.

Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿

Tembea Kifua Mbele Tena,

Aamin 🙏
Amen,watakao kuelewa ni wachache sana ambao wamejaliwa na Mungu aliyeumba mbingu na ardhi.
 
Salaam!

Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,

Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.

Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.

Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿

Tembea Kifua Mbele Tena,

Aamin 🙏
Stop bangi
 
hivi huo ujumbe (illusions) umetoa katika verse gani za kitabu cha UFUNUO??
1753093683045.png
 
Salaam!

Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,

Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.

Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.

Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿

Tembea Kifua Mbele Tena,

Aamin 🙏
Hizi mada wapiga zumari na maturumbeta wa wahuni wa nchi na taifa hili kina Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Shotocan, ChoiceVariable, Mtoto wa Shule hawazipendi na hawazielewi hata kwa sekunde...

Wao wanachoelewa ni kile wasichokijua wala kukielewa kwa yakini. Ni kumwimbia na kumsifu malkia wa anga na wa bahari, Jezebel ambaye kwa kweli hawamjui wala kumwelewa kabisa kuwa ni shetani mwenyewe katika sura ya mwanamke mvaa hijabu toka Kizimkazi Zanzibar...

Inasemekana kakimbilia Kizimkazi na si ajabu mtamsikia yuko kwa wajomba zake Oman au kule kuliko na HQ za DPW....

🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻
 
Back
Top Bottom