Nuru imeangaza juu ya nchi, shangilieni!

Hujui kwamba wizi wa kura, kujipitisha mwenyewe kugombea Nafasi ya juu bila mchujo ni DHAMBI pia?
Huu wizi ni wa leo? Mlikuwa wapi 2005, 2010, 2015, 2020? Mbona hamkuwahi kuamka taifa likiteseka?

Sasa mnaona Lissu, Heche, Polepole, Gwajima wakitikisa kiberiti, mnaanza kuigiza kuomba kwa Mungu!

Huu ni mchezo wa ulaghai, hamjawahi kuonesha moyo wakati mambo yalipokuwa mabaya huko nyuma, sasa mnaigiza tu pale hali inapoonyesha tumaini.

Acheni utani, taifa linahitaji ujasiri wa kweli, siyo maigizo.
unafikiri Mungu alisubiri Watu tuamke ndiyo atusaidie au watu wenyewe tu tumechoshwa na mfumo?
 
Sasa tuhalalishe wizi na ubakaji wa mifumo ya kuchagua viongozi eti kwa kuwa mambo hayo yalikuwepo 2005,2010,2015 na 2020?

Solution tuseme 2025 no Reforms no Election, stop wizi wa kura na udikteta uchwara.

Fomu ni zaidi ya moja maana huu ni uchaguzi mpya kabisa.
 
Hapa umeongea vizuri - Issue ni kwamba wananchi tumeamka na tunataka reforms kwasababu tumechoshwa na mfumo unaoumiza.

Ni maumivu ya ndani - It's not about God.
God is everything.

Kiti Cha Urais ni kiti kitakatifu Cha Mungu ambacho huwa anampa mtu kukikalia kwa niaba yake kuongoza watu wake.

Sasa reforms ni ndani ya tawala na upinzani na nchi kwa ujumla.

Adui yetu ni mmoja.

Haki na UHURU wa kuchagua na kuchaguliwa Katika mifumo ya haki kwannza, uhuni Uwekwe Pembeni.
 
God is everything.
Hiyo ni personal experience yako na mtizamo wako.
Kiti Cha Urais ni kiti kitakatifu Cha Mungu ambacho huwa anampa mtu kukikalia kwa niaba yake kuongoza watu wake.
Je, unamaanisha hata waliopanda madarakani kwa udanganyifu, rushwa au mabavu bado ni chaguo la Mungu?

Kama mtu anapinga ufisadi wa rais au mfumo wake dhalimu, je, hiyo ni kumpinga Mungu au ni kutetea haki ambayo Mungu anapenda?

Je, kama rais ataanza kuua, kuiba au kubaka sheria, bado atakuwa anakalia kiti kitakatifu cha Mungu?
Je, Mungu anakubaliana na hilo?
 
Salaam!

Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,

Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo,misukule na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.

Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.

Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿

Tembea Kifua Mbele Tena,

Aamin 🙏
Hizi ndizo habari CDM wanapenda kuzisikia. Ukiandika umbeya kama wanakuja kichwa kichwa. Ona sasa walivyogonga like. Na mnaopost habr km hz mmeshawajua wateja wenu
 
God is everything.

Kiti Cha Urais ni kiti kitakatifu Cha Mungu ambacho huwa anampa mtu kukikalia kwa niaba yake kuongoza watu wake.

Sasa reforms ni ndani ya tawala na upinzani na nchi kwa ujumla.

Adui yetu ni mmoja.

Haki na UHURU wa kuchagua na kuchaguliwa Katika mifumo ya haki kwannza, uhuni Uwekwe Pembeni.
Haki na Uhuru hatuna Tanzania
 
JF waeke jukwaa la utabiri.
Kina mtabiri tambitambi mmekuwa wengi..!! 😹
 
Hizi mada wapiga zumari na maturumbeta wa wahuni wa nchi na taifa hili kina Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Shotocan, ChoiceVariable, Mtoto wa Shule hawazipendi na hawazielewi hata kwa sekunde...

Wao wanachoelewa ni kile wasichokijua wala kukielewa kwa yakini. Ni kumwimbia na kumsifu malkia wa anga na wa bahari, Jezebel ambaye kwa kweli hawamjui wala kumwelewa kabisa kuwa ni shetani mwenyewe katika sura ya mwanamke mvaa hijabu toka Kizimkazi Zanzibar...

Inasemekana kakimbilia Kizimkazi na si ajabu mtamsikia yuko kwa wajomba zake Oman au kule kuliko na HQ za DPW....

🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻
epuka uropokaji na upotoshaji wa kilofa namna hiyo gentleman kwa wadau wa JF
 
Sasa tuhalalishe wizi na ubakaji wa mifumo ya kuchagua viongozi eti kwa kuwa mambo hayo yalikuwepo 2005,2010,2015 na 2020?

Solution tuseme 2025 no Reforms no Election, stop wizi wa kura na udikteta uchwara.

Fomu ni zaidi ya moja maana huu ni uchaguzi mpya kabisa.

Muulize na Yeye kwanini wapinzani hawakugomea uchaguzi wa 2010, 2015, 2020, wamekuja kugomea 2025?

Kuna baadhi ya Mambo yamefungwa na Nyakati, Na huu ni wakati unao hitaji mabadiriko ya Mifumo ya Uchaguzi na uendeshaji wa nchi.
 
Salaam!

Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,

Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo,misukule na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.

Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.

Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿

Tembea Kifua Mbele Tena,

Aamin 🙏

AMINA MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI
 
mimi kushangilia kwangu ni kwa SSH kuingia tena madarakani mkuu.

nyinyi mnaotaka kushangilia sasa hivi nawasihi msubiri itokee kwanza
kumbe ndio unachotaka ndio maana hutuelewi ambao hatutaki
 
Back
Top Bottom