Nuru imeangaza juu ya nchi, shangilieni!

Nuru imeangaza juu ya nchi, shangilieni!

Bado ni mapema kushangilia mkuu, naona wanaendelea kutangaza matokeo.
Watafikiwa tu.


Hali ilivyo sasa,

Haiwezi tulizwa na polisi wakati jeshi linasaidia wananchi kutuliza hasira zao kwa kushufhulika na Mali za mafisadi..


Shangilia tafadhali 🙏
 
Back
Top Bottom