Nuru imeangaza juu ya nchi, shangilieni!

Salaam!

Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,

Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.

Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.

Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿

Tembea Kifua Mbele Tena,

Aamin 🙏
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Tanzania hapana Jamani imetosha sasa
tunahitaji Tanganyika yetu na sio Tanzania tena
Mungu Aingilie kati na hili
ili kila mtu achukue 50 zake IMETOSHA SASA
Acha kujipa kisukari. Hakuna mtu wa kuvunja Muungano. CCM ina succession plan ya uongozi. Bado sisi maradical tunaoamini katika Nyererelism tuna miaka 30 mbele labda tufe.

Mimi natamani suala la muundo wa Dola yetu usijadiliwe popote futa hadi sera ya CCM kuhusu serikali mbili. Hii dola ni ya Katiba chini ya JWTZ siyo suala la kisiasa tena. Tanzania ilishaundwa Aprili 26,1964.
 
Kweli kabisa,mimi nilipowaona akina salimu mwalumu wanaipeleka CDM mahakamani kwa kesi ya uongo,ndo nikaamini kuwa na kile kisiwa ni mzigo kwa bara huru
 
Acha kujipa kisukari. Hakuna mtu wa kuvunja Muungano. CCM ina succession plan ya uongozi. Bado sisi maradical tunaoamini katika Nyererelism tuna miaka 30 mbele labda tufe.

Mimi natamani suala la muundo wa Dola yetu usijadiliwe popote futa hadi sera ya CCM kuhusu serikali mbili. Hii dola ni ya Katiba chini ya JWTZ siyo suala la kisiasa tena. Tanzania ilishaundwa Aprili 26,1964.
wapi azimio la ARUSHA,MUSOMA N.K
 
Amen.
Salaam!

Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,

Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.

Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.

Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿

Tembea Kifua Mbele Tena,

Aamin 🙏
Amen
 
Hatari sn
 
Back
Top Bottom