- Thread starter
- #61
Ulitakiwa uende hekaluni ukatoe sadaka ya shukrani,Nyie watu Jana mlinifanya nikanunua dumu la mbege na gongo ya buku 2 nimemix nikajilipua naamka saiz mambo n yaleyale najuta ten yangu imeenda bure
Wewe ukaenda kunywa sumu🤔
Ulitakiwa uende hekaluni ukatoe sadaka ya shukrani,Nyie watu Jana mlinifanya nikanunua dumu la mbege na gongo ya buku 2 nimemix nikajilipua naamka saiz mambo n yaleyale najuta ten yangu imeenda bure
Kuna watu wa ajabu sana tz ukilinganisha na knySalaam!
Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,
Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.
Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.
Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿
Tembea Kifua Mbele Tena,
Aamin 🙏
Na wageni watarudisha Mali ya ukoo na kurudi kumallizana na aliyewauzia urithi usio wake.Hizi mada wapiga zumari na maturumbeta wa wahuni wa nchi na taifa hili kina Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Shotocan, ChoiceVariable, Mtoto wa Shule hawazipendi na hawazielewi hata kwa sekunde...
Wao wanachoelewa ni kile wasichokijua wala kukielewa kwa yakini. Ni kumwimbia na kumsifu malkia wa anga na wa bahari, Jezebel ambaye kwa kweli hawamjui wala kumwelewa kabisa kuwa ni shetani mwenyewe katika sura ya mwanamke mvaa hijabu toka Kizimkazi Zanzibar...
Inasemekana kakimbilia Kizimkazi na si ajabu mtamsikia yuko kwa wajomba zake Oman au kule kuliko na HQ za DPW....
🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻
Jiulize kwanini Mwana kondoo ametumika kama ishara ya utakatifu ilhal mbuzi katumika kama ishara ya uharibifu?Kuna watu wa ajabu sana tz ukilinganisha na kny
Ile ni gongo pureVisungura inaonekana uwa ni vikali sana
(Isaiah 61:1-2)
1: Roho ya Bwana MUNGU I juu yangu; kwa sababu BWANA amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma Ili kuwaganga waliovunjika moyo, KUWATANGAZIA MATEKA UHURU WAO, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao.
2: Kutangaza mwaka wa BWANA uliokubaliwa, na siku Cha kisasi Cha Mungu wetu, kuwafariji wote waliao.
... Mwisho wa kunukuu....
Na wote tuseme Aamin 🙏 2025
KabisaAmen,watakao kuelewa ni wachache sana ambao wamejaliwa na Mungu aliyeumba mbingu na ardhi.
Think before you actNyie watu Jana mlinifanya nikanunua dumu la mbege na gongo ya buku 2 nimemix nikajilipua naamka saiz mambo n yaleyale najuta ten yangu imeenda bure
Mtapiga ramli mpaka 2030Salaam!
Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,
Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo,misukule na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.
Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.
Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿
Tembea Kifua Mbele Tena,
Aamin 🙏
Unalinganishaje Tanzania yetu nzuri na wanywa gongo??Kuna watu wa ajabu sana tz ukilinganisha na kny
October 2pm amedai kule zenji hakuna chawa wanaume wala baiskeli za ss,Mtapiga ramli mpaka 2030
Tz nchi yenye idadi kubwa ya watu wenye ugonjwa wa afya ya akiliUnalinganishaje Tanzania yetu nzuri na wanywa gongo??
Ndiyo shida ya watumishi.Betting ndio kamari,
Na kamari ni machukizo mbele za Mungu,
MAISHA ni halisi SI kubahatisha( betting).
Rusha jiwe moja kakaAmka uangaze na kushangilia nuru yako imekuja.
Hujui kwamba wizi wa kura, kujipitisha mwenyewe kugombea Nafasi ya juu bila mchujo ni DHAMBI pia?Ndiyo shida ya watumishi.
Ngumu sana kuzielewa code.
Kila kitu wao ni dhambi tu.
Ni kheri kuwa kondoo, mnyenyekevu,Rusha jiwe moja kaka
MAOMBI MAHUSUSI NI *TANZANIA MOJA...(RAIS 1, BUNGE 1, MAHAKAMA 1).Tanzania hapana Jamani imetosha sasa
tunahitaji Tanganyika yetu na sio Tanzania tena
Mungu Aingilie kati na hili
ili kila mtu achukue 50 zake IMETOSHA SASA