hahahaMAOMBI MAHUSUSI NI *TANZANIA MOJA...(RAIS 1, BUNGE 1, MAHAKAMA 1).
Wewe unamchanganya Mungu sasa. Atatuacha hivyo hivyo tukimchosha.
naam, na sababu ni kua mnaweka sana imaginaions mbele ,kumbe ndio unachotaka ndio maana hutuelewi ambao hatutaki
Wazee wa kyela hawa.
Piga kelele za shangweeee!
Kwamba!Unaota au ulilala na chipumu
.Ongeza nyama kidogo, mifupa imekuwa mingi.
Aamin😄Amen,watakao kuelewa ni wachache sana ambao wamejaliwa na Mungu aliyeumba mbingu na ardhi.
Habari ya uzima mtumishi, wakati tunasema 2025 haendi mtu walidhani tunaotaAamin😄
Nilikuwa naandika humu,Habari ya uzima mtumishi, wakati tunasema 2025 haendi mtu walidhani tunaota
Bado ni mapema kushangilia mkuu, naona wanaendelea kutangaza matokeo.Nilikuwa naandika humu,
HATOGOMBEA.
Wachache walielewa.
Tushangilie.