Nurse Zai kutoka Kigoma umetoa fundisho

mfungwa

JF-Expert Member
May 23, 2015
1,291
341
Huyu mama ambaye wananchi wamemkatalia asihame kituoni kwake, kwa ajili ya ukarimu wake na moyo wa kuwahudumia watu kwa upendo.

Hadi umepewa uhamisho na wananchi kukukatalia usihame ili ubaki uendelee kuwahudumia.

Nakupa hongera na liwe fundisho kwa watumishi wote wanao wahudumia watu. Naimani siku ya wafanya kazi hautakosa zawadi kutoka kwa Rais

Magufuli. Big up.
 
Maisha ya leo ukijifanya mzalendo lazima ufe maskini na hakika wanao wataishia shule za fagio na vidumu mkononi maana faida yake ndio hii ya kusifiwa tu wakati JOKA LA MAKENGEZA linachota mabilioni yetu akitumia taaluma yake ya sheria hapa dawa yao ni kukarakashana nao kwenye kuiba tu mpaka tugawane sawa keki ya taifa,nimetoa tu ya moyoni mimi sio mnafiki.
 
Mungu atamlipa mara dufu Kwa kila hisani anayowatendea watu wake kwani mwisho wa siku kila mmoja wetu ataulizwa katika nafasi yake uliwatendea nini watu wako......

Fundisho Kwa kila mtu Mimi na wewe tunaojiona miungu watu na kuwanyanyasa waliochini yetu......Mungu atatulipa Kwa kila tulifanyalo hata likiwa dogo Kama tone la maji au sisimizi
 
Nimeona jana pia itv...yani ni hundredth of people wameandamana..nurse zai asihamishwe.....atakua ana roho ya aina yake....Mungu amjalie ya heri...huo ndio wito sasa...unapendwa na kijiji kizima mpk vurugu...
Hapo ht overtym hapati masikin daah
Ni wa kijiji gani
 
Nakupa hongera na liwe fundisho kwa watumishi wote wanao wahudumia watu.Naimani siku ya wafanya kazi hautakosa zawadi kutoka kwa Pombe na makufuri. Big up.
Umeandika vizuri lakini sijapenda ulivyomalizia kutaja jina la rais! Naomba moderetor msaidieni kuedit jina la rais wetu! Hata kama kuna vinyongo haimaanishi ndio tulikosee jina kwa dharau...by the way UJUMBE NI MZURI
 
Huyu mmama ambaye wananchi wamemkatalia asihame kituoni kwake, kwa ajili ya ukarimu wake na moyo wa kuwahudumia watu kwa upendo. Hadi umepewa uhamisho na wananchi kukukatalia usihame Ili ubaki uendelee kuwahudumia. Nakupa hongera na liwe fundisho kwa watumishi wote wanao wahudumia watu.Naimani siku ya wafanya kazi hautakosa zawadi kutoka kwa Pombe na makufuri. Big up.

yani umeharibu hapo uliposema eti atapewa zawadi na Pombe Magufuli,
hiyo ni too low kwa huyo nurse.
 
Maisha ya leo ukijifanya mzalendo lazima ufe maskini na hakika wanao wataishia shule za fagio na vidumu mkononi maana faida yake ndio hii ya kusifiwa tu wakati JOKA LA MAKENGEZA linachota mabilioni yetu akitumia taaluma yake ya sheria hapa dawa yao ni kukarakashana nao kwenye kuiba tu mpaka tugawane sawa keki ya taifa,nimetoa tu ya moyoni mimi sio mnafiki.
Hatuwezi kuuondoa uzalendo wetu kwa sababu ya mafisadi yq ccm.
 
Maisha ya leo ukijifanya mzalendo lazima ufe maskini na hakika wanao wataishia shule za fagio na vidumu mkononi maana faida yake ndio hii ya kusifiwa tu wakati JOKA LA MAKENGEZA linachota mabilioni yetu akitumia taaluma yake ya sheria hapa dawa yao ni kukarakashana nao kwenye kuiba tu mpaka tugawane sawa keki ya taifa,nimetoa tu ya moyoni mimi sio mnafiki.
Wacha upotoshaji,matabia ya kiukawa unayaleta hadi kwenye ishu za msingi
 
Huyu mmama ambaye wananchi wamemkatalia asihame kituoni kwake, kwa ajili ya ukarimu wake na moyo wa kuwahudumia watu kwa upendo. Hadi umepewa uhamisho na wananchi kukukatalia usihame Ili ubaki uendelee kuwahudumia. Nakupa hongera na liwe fundisho kwa watumishi wote wanao wahudumia watu.Naimani siku ya wafanya kazi hautakosa zawadi kutoka kwa Pombe na makufuri. Big up.
Apewe tuzo
 
Hongera muuguzi. Kuna aliyesema ni bora kuhujumu kwa kuiba ili kwenda sawa na watawala, elewa anahudumu kijini ambako hata dawa za kutuliza maumivu tu ni mtihani hapo aibe nini? Labda auze jengo! Alichofanya mhudumu ni ubunifu wa hali ya juu, kuuza upendo wake kwa wanakijiji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom