124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,812
- 5,526
Yaani ghafla bin vuu najisikia kuwa karibu nae huyu nesi!kama jamii anamwaga maupendo hivyo hebu fikiria mumewe na wanawe wako katka hali gani?Hongera muuguzi. Kuna aliyesema ni bora kuhujumu kwa kuiba ili kwenda sawa na watawala, elewa anahudumu kijini ambako hata dawa za kutuliza maumivu tu ni mtihani hapo aibe nini? Labda auze jengo! Alichofanya mhudumu ni ubunifu wa hali ya juu, kuuza upendo wake kwa wanakijiji
Yaani kama hajaolewa naobgeza mke wapili sasa hivi huyu mwanamke atakufanya ujihisi mfalme uliyebarikiwa!