Hivi Mungu atamlipajeMungu atamlipa mara dufu Kwa kila hisani anayowatendea watu wake kwani mwisho wa siku kila mmoja wetu ataulizwa katika nafasi yake uliwatendea nini watu wako......
Fundisho Kwa kila mtu Mimi na wewe tunaojiona miungu watu na kuwanyanyasa waliochini yetu......Mungu atatulipa Kwa kila tulifanyalo hata likiwa dogo Kama tone la maji au sisimizi
Tenda wema uende zako...Usipolipwa Duniani Iko sehemu utalipwa.Kwa maisha ya sasa amegeuka tu mshumaa.
Mkuu pia inawezekana kahamishwa sababu anazuia wizi Wa dawa ili zitumike kihalali hapo kijijini.Huo ni umasikini uliotukuka na watamfanya afe masikini... Kwahyo huyo nesi hataenda kusoma au kuwa promoted kisa wanakijiji wanampenda? What if huo uhamisho ulikua na lengo la kumpromote au kumpa chance ya kuonekana zaidi...
Tunafanya kazi ili Lowassa atuonemkuu nyie mnafanya kazi kwa bidii ili mpewe zawadi na viongozi wa kisiasa??
mbona watanzania mnapenda kuuzalilisha utu wenu??
Tunafanya kazi ili Lowassa atuone
Huyu mama ambaye wananchi wamemkatalia asihame kituoni kwake, kwa ajili ya ukarimu wake na moyo wa kuwahudumia watu kwa upendo.
Hadi umepewa uhamisho na wananchi kukukatalia usihame ili ubaki uendelee kuwahudumia.
Nakupa hongera na liwe fundisho kwa watumishi wote wanao wahudumia watu. Naimani siku ya wafanya kazi hautakosa zawadi kutoka kwa Rais
Magufuli Big up.
Joka poli la makengeza ni shida kwa unafiki litatualibia nchiMaisha ya leo ukijifanya mzalendo lazima ufe maskini na hakika wanao wataishia shule za fagio na vidumu mkononi maana faida yake ndio hii ya kusifiwa tu wakati JOKA LA MAKENGEZA linachota mabilioni yetu akitumia taaluma yake ya sheria hapa dawa yao ni kukarakashana nao kwenye kuiba tu mpaka tugawane sawa keki ya taifa,nimetoa tu ya moyoni mimi sio mnafiki.
Siyo haya maguruwe yetu yaliyofikia kuwa lazimisha watu watabasamu kwenye mikutano yao ya kisiasaNimeona jana pia itv...yani ni hundredth of people wameandamana..nurse zai asihamishwe.....atakua ana roho ya aina yake....Mungu amjalie ya heri...huo ndio wito sasa...unapendwa na kijiji kizima mpk vurugu...[emoji16][emoji16][emoji23]
Hapo ht overtym hapati masikin daah