Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
Ni ngumu sana kujua siri ya mafanikio ya mtu.Nina mjomba wangu mmoja ni Mkulima mkubwa wa mpunga, ni tajiri wa kutisha na amepata huo utajiri kwa kilimo tu na aliishia darasa la 7
Ni ngumu sana kujua siri ya mafanikio ya mtu.Nina mjomba wangu mmoja ni Mkulima mkubwa wa mpunga, ni tajiri wa kutisha na amepata huo utajiri kwa kilimo tu na aliishia darasa la 7
Bwashee naona unatoka kwenye point,Binafsi naona gari ni mahitaji muhimu ya binadamu ili kurahisisha shughuli zake tu kama zilivyo simu tu , sema Kuna namna kwenye jamii zetu ukiwa na kagari Cha kuzugia wanakuabudu kabisa
Suala la mafanikio, Kila mtu ana tafsiri yake, kulingana na mtazamo wake.Bwashee,kwenye huu uzi naona wengi wanashindwa kujua au kutafsiri neno Mafanikio ni nini?
Tungeanza kujadili tafsiri ya neno Mafanikio,basi hata kusingekua na mabishano ya kusema kumiliki kitu fulani sio mafanikio au ni mafanikio.
Acha uongo.kuwa na gari Kali ni kiashiria kuwa maisha yako ni mazuri.Mfano huwezi kutembelea gari la BILIONI Moja kama hauna mafanikio.Labda ungesema siyo mafanikio kulingana na aina ya gari.maana Kuna gari Hadi za milioni tatuYeah sure.
Nchi kama USA kuwa na gari ni basic need tu. Wala sio utajiri.
Wakati fulani hapa Tanzania 🇹🇿, miaka ile ya 70, 80 mpaka 90. Kwenu mkiwa na baiskeli zile za phoenix nyie wakishua hatari.
Au hata mkiwa na TV 📺 tu, nyie wakishua.
Umaskini sio poa. Kitu kidogo tu kinakufanya uone fulani wakishua. Kumbe ni kawaida sana.
Bwashee naona unatoka kwenye point,
Point ni kwamba,ukiwa huna Gari kisha ukafanya juhudi ukaipata hiyo Gari,
Je hayo ni mafanikio kwako au sio mafanikio?
Yani mtu kafanya juhudi akaja kununua Gari akajiona kua amefanikisha lengo lake na hayo ni mafanikio kwake,ila anakuja mtu mwingine anamwambia Gari sio mafanikio!!
Na hapa ndipo kwenye point yangu,Suala la mafanikio, Kila mtu ana tafsiri yake, kulingana na mtazamo wake.
Marekani unaweza kutembelea gari la billion kwa kukodi au kwa kulipa mdogo mdogo.Acha uongo.kuwa na gari Kali ni kiashiria kuwa maisha yako ni mazuri.Mfano huwezi kutembelea gari la BILIONI Moja kama hauna mafanikio.Labda ungesema siyo mafanikio kulingana na aina ya gari.maana Kuna gari Hadi za milioni tatu
Wamatumbi wengi hupima mafanikio kwa kigezo kimoja Cha kumiliki gari tuNa hapa ndipo kwenye point yangu,
Unapomuhukumu mtu kua kununua Gari sio mafanikio,unakua unaingilia uhuru wake,kama yeye anaona kununua Gari ni mafanikio basi hakuna mwenye haki ya kumwambia kua Gari alilolinunua sio mafanikio.
Anatakiwa aambiwe hivyo kwa sababu kumuacha aendelee kuamini kumiliki gari ndiyo mafanikio kutamharibu akili yake siku za mbeleniNa hapa ndipo kwenye point yangu,
Unapomuhukumu mtu kua kununua Gari sio mafanikio,unakua unaingilia uhuru wake,kama yeye anaona kununua Gari ni mafanikio basi hakuna mwenye haki ya kumwambia kua Gari alilolinunua sio mafanikio.
Mkuu gari ya kifahari ni tofauti na gari. Nakubali USA gari sio issue ila ukizungumzia gari ya kifahari hata USA inam define mtu.🇺🇸 USA.
Soma comment #83Anatakiwa aambiwe hivyo kwa sababu kumuacha aendelee kuamini kumiliki gari ndiyo mafanikio kutamharibu akili yake siku za mbeleni
Hapa, kila mtu anajaribu kuelezea tafsiri ya neno Mafanikio.Na hapa ndipo kwenye point yangu,
Unapomuhukumu mtu kua kununua Gari sio mafanikio,unakua unaingilia uhuru wake,kama yeye anaona kununua Gari ni mafanikio basi hakuna mwenye haki ya kumwambia kua Gari alilolinunua sio mafanikio.
Na sio Gari tu,hasa Saa ya mkononi watu hununua zile za ghali ili kunyesha mafanikio yao, status.Mkuu gari ya kifahari ni tofauti na gari. Nakubali USA gari sio issue ila ukizungumzia gari ya kifahari hata USA inam define mtu.
Unataka kusema mtu anaetumia Honda Accord ni sawa na anaetia Rolls Royce?
Kuna gari na gari ya kifahari. Watu wanatumia magari ya kifahari kuonesha mafanikio yao.
Huwezi kuendesha gari ya $500,000 kama hauko vizuri kiuchumi.
Unafikiri gari ya bilioni unslipia kama gari ya 10m? Kukopa gari kunafuata taratibu za mikopo. Kajamba nani huwezi kukopeshwa gari la bilioni.Marekani unaweza kutembelea gari la billion kwa kukodi au kwa kulipa mdogo mdogo.
Kwa hiyo kutembelea gari kali tu, si kipimo cha utajiri.
Ni kweli, kwa sababu hata mwenye ist au Rav 4 anaweza kujiona tajiri, kumbe bado ni maskini tu, hawezi kumiliki Cadillac escalade.Mkuu gari ya kifahari ni tofauti na gari. Nakubali USA gari sio issue ila ukizungumzia gari ya kifahari hata USA inam define mtu.
Unataka kusema mtu anaetumia Honda Accord ni sawa na anaetia Rolls Royce?
Kuna gari na gari ya kifahari. Watu wanatumia magari ya kifahari kuonesha mafanikio yao.
Huwezi kuendesha gari ya $500,000 kama hauko vizuri kiuchumi.
Ni kweli watu wanafanya hayo, siyo kwamba wanajipendea, ni matokeo ya mafundisho potofu ya zamani kuhusu mafanikioNa sio Gari tu,hasa Saa ya mkononi watu hununua zile za ghali ili kunyesha mafanikio yao, status.
Huwezi ndio. Lazima waangalie credit score yako na kazi yako.Unafikiri gari ya bilioni unslipia kama gari ya 10m? Kukopa gari kunafuata taratibu za mikopo. Kajamba nani huwezi kukopeshwa gari la bilioni.
Ndio hivyo. Mleta mada gari anayo ila mtoto wake kamwambia anunue gari kali ambalo si kila mtu anaweza.Ni kweli, kwa sababu hata mwenye ist au Rav 4 anaweza kujiona tajiri, kumbe bado ni maskini tu, hawezi kumiliki Cadillac escalade.