Nunua gari kali, jenga ghorofa

Nunua gari kali, jenga ghorofa

Hayo ni maneno ya mwanangu, akitaka ninunue gari kali, means hajaridhika na nilililonalo. Matokeo ya kidato cha pili yametoka na amefaulu kidogo nikaona nimtembeze mjini kuangalia vitu mbali mbali.

Mtoto wangu akataka tuende Mlimani City, kama mnavyojua jana pale Mlimani kulikuwa na watu wazito wana sherehe. Basi nikazurura nae madukani, tulivyotoka nikasema twende upande wa sherehe (tupite karibu na ukumbi kwenda kwenye lile duka lingine la wachina kula upande wa pili). Basi nikapita na mwanangu pale, nje kulikuwa na askari kibao wakiona gari halihusiki wanakuelekeza kupita kwa haraka. Nikawaza kunanini hapa? Maana ukumbi ulipambwa hadi nje.

Mwanangu akaona magari makali yamepaki nje, akaniambia "enhee kama hili". Nikasema sawa mwanangu tutanunua. Oya yeyote aliyefanya sherehe jana pale Mlimani City hall ni tajiri haswa maana nje pale waliweka Fountains za kutosha kwa sample. Halafu ukumbi mzima ulininginizwa taa kwa nje. Wale walinzi as if ni mkutano wa kitaifa. Gari ya bei rahisi zilizopaki nje pale ni la milioni 100 nadhani.

Anyway, nimekuwa inspired na mimi kuwa na maisha ya vile, na nitafika kwa dua za mwanangu maana amesema anaendelea kupiga dua ili mashavu yafunguke nimiliki gari kali na ghorofa. Nikasema Amen!
Kabla ya yote uelewe kuwa gari mostly ni liability si asset.
 
Ni umaskini wa nchi zetu tu , ndio unasababisha watu Kuona kuwa na magari ndio mafanikio makubwa kiuchumi .
Vipaumbele vya waafrika ni vya kijinga sana. Hapo ukiwakataza kuweka mafuta mengi na sukari kwenye chakula wanakuona kaka bahiri.

Ukiwasihi waendekeze mboga za majani ndio kabisaa wanaweza wasile
 
Hayo ni maneno ya mwanangu, akitaka ninunue gari kali, means hajaridhika na nilililonalo. Matokeo ya kidato cha pili yametoka na amefaulu kidogo nikaona nimtembeze mjini kuangalia vitu mbali mbali.

Mtoto wangu akataka tuende Mlimani City, kama mnavyojua jana pale Mlimani kulikuwa na watu wazito wana sherehe. Basi nikazurura nae madukani, tulivyotoka nikasema twende upande wa sherehe (tupite karibu na ukumbi kwenda kwenye lile duka lingine la wachina kula upande wa pili). Basi nikapita na mwanangu pale, nje kulikuwa na askari kibao wakiona gari halihusiki wanakuelekeza kupita kwa haraka. Nikawaza kunanini hapa? Maana ukumbi ulipambwa hadi nje.

Mwanangu akaona magari makali yamepaki nje, akaniambia "enhee kama hili". Nikasema sawa mwanangu tutanunua. Oya yeyote aliyefanya sherehe jana pale Mlimani City hall ni tajiri haswa maana nje pale waliweka Fountains za kutosha kwa sample. Halafu ukumbi mzima ulininginizwa taa kwa nje. Wale walinzi as if ni mkutano wa kitaifa. Gari ya bei rahisi zilizopaki nje pale ni la milioni 100 nadhani.

Anyway, nimekuwa inspired na mimi kuwa na maisha ya vile, na nitafika kwa dua za mwanangu maana amesema anaendelea kupiga dua ili mashavu yafunguke nimiliki gari kali na ghorofa. Nikasema Amen!
Mwambie hata wewe ulikuwa na ndoto kama zake ila ndio hivyo tena..kama ni rahisi hivyo apambane asijekuwa kama wewe
 
Ni kweli watu wanafanya hayo, siyo kwamba wanajipendea, ni matokeo ya mafundisho potofu ya zamani kuhusu mafanikio

Wewe unatakiwa usifanane na hao

Wewe Nunua gari kali lakini usiseme ni mafanikio, jenga ghorofa lakini usiseme ni mafanikio

Mimi sioni ubaya wowote kumiliki hivyo vitu kama hela unayo, mhimu asiviunganishe hivyo vitu na mafanikio.
Ungesema usiishi au sinunue kitu ili kuonekana na watu au kujionyesha kwa watu,hapo ningekuelewa,

Lakini kusema mtu alikua amepanga kisha akajenga Nyumba yake,halafu wewe usema Nyumba aliyoijenga asiihusishe na mafanikio,hapo utakua unakosea,

Mafanikio ni kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine.
 
Noma sana! Ila itoe kwamba US ukiwa na gari kali sio kipimo cha mafanikio ni uongo. Watu wanahangaika kudirve tesla na akipata tesla anatamba kweli kweli...
Watu wengi tu walionunua Tesla wanataka kuyatupa kwa sababu yanahusishwa na Elon Musk.

Pia US watu wanajali sana kitu kinaitwa resale value na Tesla ina a very low resale value. Kimsingi betri la gari lina gharama kuliko gari lenyewe.

Ni wewe tu unaonekana huelewi maisha ya USA.
 
Don't educate your children to be rich,
Educate them to be happy,
So they know the value of things not the price.
Being happy while you are poor is not for me... how can I be happy if I can not afford the basic needs? I will never justify being poor in the name of being happy
 
Watu wengi tu walionunua Tesla wanataka kuyatupa kwa sababu yanahusishwa na Elon Musk.

Pia US watu wanajali sana kitu kinaitwa resale value na Tesla ina a very low resale value. Kimsingi betri la gari lina gharama kuliko gari lenyewe.

Ni wewe tu unaonekana huelewi maisha ya USA.
Siwezi kuyafahamu maisha ya US kama unavyoyafahamu wewe, ila kwa namna moja au nyingine tumeshakutana huko na kupiga story, if not you itakuwa Mwanakijiji na wengineo. Niliwafahamu hamkunifahamu...
 
Ndio hivyo. Mleta mada gari anayo ila mtoto wake kamwambia anunue gari kali ambalo si kila mtu anaweza.
Unafikiri kwanini IST zimejaa kuliko LC300? Kwamba watu wanapenda sana IST?
Anyway, kila mtu ana namna yake anavyopima utajiri.

Binafsi sioni kwamba kumiliki gari kali tu, ni kipimo tosha cha utajiri.

Kwa sababu mtu anaweza ndio kupambana akamiliki hiyo LC300. Lakini akawa anakosa hela ya kufanya maintenance. Au gari likipata hitilafu kidogo mpaka ajikusanye tena apate hela ya matengenezo.

Sasa huo bado sio utajiri. Mtu wa namna hii bado ana struggle.
 
Being happy while you are poor is not for me... how can I be happy if I can not afford the basic needs? I will never justify being poor in the name of being happy
It's not about making kids poor but about ensuring they develop the wisdom to be content and make good choices,whether they are rich or not.
 
Being happy while you are poor is not for me... how can I be happy if I can not afford the basic needs? I will never justify being poor in the name of being happy
You don't need anything to be happy

Happiness is not a result from getting or having something

Happiness doesn't need a key of any kind

Furaha siyo kitu unachoweza kukipata au kuletewa

Unaponunua gari hupati happiness, unapata excitement (hali ya mshangao fulani)

Hakuna mtu anaweza kukupa wewe furaha, hakuna kitu chochote kinaweza kukupa furaha

Furaha ni kitu ambacho tayari kimo ndani yako (ila hujuwi ndiyo maana unaitafuta nje ya mwili wako)

The more you chase happiness the chance that you will never get it

Dini na taasisi za kifedha zimefanikiwa sana kuwadanganya kwamba kuna mtu au kitu kinaweza kukupa furaha

Tafuta kitabu kinaitwa THE ILLUSION OF HAPPINESS na kingine kinaitwa THE SUBTITLE ART OF NOT GIVING A FU*CK

Ukisoma hivyo vitabu utafunguka kwa namna ambayo hukuwahi kufikiri
 
Tusidanganyane bhan. Kuwa na gari na nyumba ni sehemu kubwa sn alam ya mafanikio ya kiuchum. Kama sivyo hiyo pes itakuw Ina kaz gan sas
Ukisikia nchi za ulimwengu wa tatu , Huwa unaelewa nini bwashee?
 
Anyway, kila mtu ana namna yake anavyopima utajiri.

Binafsi sioni kwamba kumiliki gari kali tu, ni kipimo tosha cha utajiri.

Kwa sababu mtu anaweza ndio kupambana akamiliki hiyo LC300. Lakini akawa anakosa hela ya kufanya maintenance. Au gari likipata hitilafu kidogo mpaka ajikusanye tena apate hela ya matengenezo.

Sasa huo bado sio utajiri. Mtu wa namna hii bado ana struggle.
 
Siwezi kuyafahamu maisha ya US kama unavyoyafahamu wewe, ila kwa namna moja au nyingine tumeshakutana huko na kupiga story, if not you itakuwa Mwanakijiji na wengineo. Niliwafahamu hamkunifahamu...
Kifupi US gari kwa sehemu kubwa ni liability si asset. Asset ni nyumba.

Gari ukiinunua tu inashuka thamani na itaendelea kushuka thamani, ila nyumba kwa kiasi kikubwa inapanda thamani.

Mimi nilijifunza hilo nikiwa na miaka 13 kwa kusoma kitabu cha business cha baba yangu kinaitwa "Swim With The Sharks Without Being Eaten Alive" cha Harvey Mackay. Kuna sehemu alielezea kuwa unatakiwa kununua nyumba ya bei mbaya na gari la kawaida.

Ila kama unapenda magari na unataka kufurahisha mtoto ni sawa, mimi mwenyewe nime park BMW X5 na Mercedes Benz GLE 450 4Matic hapo nje. Ila siwezi kununua Tesla maishani mwangu ingawa uwezo wa kununua ninao.

Gari ni kifaa cha usafiri tu, ila kimasikini ndiyo inakuwa status symbol.
 
Ungesema usiishi au sinunue kitu ili kuonekana na watu au kujionyesha kwa watu,hapo ningekuelewa,

Lakini kusema mtu alikua amepanga kisha akajenga Nyumba yake,halafu wewe usema Nyumba aliyoijenga asiihusishe na mafanikio,hapo utakua unakosea,

Mafanikio ni kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine.
Ni kweli lakini Sio kwa kila mmoja kama mtoa mada na title yake bwashee 😅, Kuna wengine nyumba walizojenga babu zao na magari hata hawazitumii zinaliwa na mchwa tu😂
 
Kifupi US gari kwa sehemu kubwa ni liability si asset. Asset ni nyumba.

Gari ukiinunua tu inashuka thamani na itaendelea kushuka thamani, ila nyumba kwa kiasi kikubwa inaoanda thamani.

Ila kama unapenda magari na unataka kucurahisha mtoto ni sawa, mimi mwenyewe nime park BMW X5 na Mercedes Benz GLE 450 4Matic hapo nje. Ila siwezi kununua Tesla maishani mwangu ingawa uwezo wa kununua ninao.

Gari ni kifaa cha usafiri tu, ila kimasikini ndiyo inakuwa status symbol.
 
You don't need anything to be happy

Happiness is not a result from getting or having something

Happiness doesn't need a key of any kind

Furaha siyo kitu unachoweza kukipata au kuletewa

Unaponunua gari hupati happiness, unapata excitement (hali ya mshangao fulani)

Hakuna mtu anaweza kukupa wewe furaha, hakuna kitu chochote kinaweza kukupa furaha

Furaha ni kitu ambacho tayari kimo ndani yako (ila hujuwi ndiyo maana unaitafuta nje ya mwili wako)

The more you chase happiness the chance that you will never get it

Dini na taasisi za kifedha zimefanikiwa sana kuwadanganya kwamba kuna mtu au kitu kinaweza kukupa furaha

Tafuta kitabu kinaitwa THE ILLUSION OF HAPPINESS na kingine kinaitwa THE SUBTITLE ART OF NOT GIVING A FU*CK

Ukisoma hivyo vitabu utafunguka kwa namna ambayo hukuwahi kufikiri
Kwenye falsafa ya furaha niliwasoma waandishi wa kale kama kina Bertarand Russels, nimsoma Flasafa za Barach de Spinoza... I have been into stoicism (Nimebaki na elements chache za hii kitu). And now all I need is being rich... So najua hao waandishi wote wamejikita kwenye Ustoa ambao hauwezi kwenda mbali na falsafa za Seneca, Marcus Aurelius nk
 
Ongezea hata corolla wanakuona umeyawezea 😀😀
Hata mademu utawapata kirahisi bila hata kutongoza, mpe tu lifti mpe na namba yako ya simu, kesho yake tayari unaye guest house

Ila sisi tunaotembea kwa miguu tunatongoza mpaka kupiga magoti wanatuangalia tu!
 
You don't need anything to be happy

Happiness is not a result from getting or having something

Happiness doesn't need a key of any kind

Furaha siyo kitu unachoweza kukipata au kuletewa

Unaponunua gari hupati happiness, unapata excitement (hali ya mshangao fulani)

Hakuna mtu anaweza kukupa wewe furaha, hakuna kitu chochote kinaweza kukupa furaha

Furaha ni kitu ambacho tayari kimo ndani yako (ila hujuwi ndiyo maana unaitafuta nje ya mwili wako)

The more you chase happiness the chance that you will never get it

Dini na taasisi za kifedha zimefanikiwa sana kuwadanganya kwamba kuna mtu au kitu kinaweza kukupa furaha

Tafuta kitabu kinaitwa THE ILLUSION OF HAPPINESS na kingine kinaitwa THE SUBTITLE ART OF NOT GIVING A FU*CK

Ukisoma hivyo vitabu utafunguka kwa namna ambayo hukuwahi kufikiri
Mwambie jamaa awacheki Wahadzabe kule porini. Yule  Chaaba muda wote ana furaha. Na anaishi porini.

Tunaoishi uraiani kwenye majumba ya kifahari. Ndio kila siku ugomvi. Wengine hadi wanafikia hatua ya kuchinjana na kupigana bastola.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom