Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
- Thread starter
- #141
Umebadilika! America teaches you kila unachokifanya ni achievement na unakubali, ila TZ inakufanya uone kila unachofanya kifiche, most of the people I have met, they never wanted nije niandike their inspirational stories ili watz nao wapambane kuja huko. So I understand the African social life ilivyoathiri, while you know bragging is just the life.Nimekubali nini?
Nimekuambia wewe una low standards, unaendekeza maisha ya kuona kununua subwoofer ni achievement.
Wewe ni limbukeni na unamrithisha mwanao ulimbukeni.