Nunua gari kali, jenga ghorofa

Nunua gari kali, jenga ghorofa

Nunua gari kali hata 3 jenga gorofa kali acha kisingizio
Unafikiri kila mtu ana mawazo ya kumiliki gari na ghorofa kali?

Umaskini na ujinga wa waafrika wengi, ndio vinawafanya kufikiri ghorofa na gari ni mafanikio.

Kumbe ni ulimbukeni tu.

Elon Musk hana nyumba. Anakaa kwenye apartment. Na ndio tajiri namba moja duniani.

Mafukara mkipata vijisenti kidogo, mnataka kushusha lighorofa laku tambia makapuku wenzenu.

After 5 years. Mjengo unaanza kuchakaa. Hela ya kufanya maintenance hamna.

Ghorofa linabaki ghofu na makazi ya popo.

Yaleyale ya Raisi wa Congo Mobutu seseseko kuku wa za Banga. Alijenga majengo mengi, sasa hivi, yamebaki magofu na makazi ya popo na bundi.
 
Nimepita asubuhi hii. Bado zipo. Yule nadhani ni ana hela kinoma. Kinomaaaaaaaaaa. Pale nje kaweka fountain na boooonge la Piano. Yule tajiri aisee.
Magari yaliyokuwa pale kwa jana aisee niliona kabisa kuna watu wana hela... Wakati huu ambao watu wanafanya harusi kwenye kumbi za jeshi, wenzetu wanapiga sherehe kuubwa na wanaona ukumbi hautoshi hadi wanaupamba upya... tuna shida ya maji, jamaa wanaweka fountains kabisa kukuambia shida ya maji haiwahusu
 
Enzi zetu tukiwa wadogo unaanzaje kupiga stori kama hizi na dingi?
Malezi haya yanaathiri sana. Ndio maana leo kuna memes kwamba nani kaongea na dingi yake kwa zaidi ya dk 2. Hii hali naona inamuumiza sana mzee wangu hatuweza kukaa kupiga stori. Hivyo nabadili uelekeo lazima nipige story na madogo, nikizeeka najua bado tutaendelea na story.

Kama mzee wako yuko hai, fikiria anapiga story na nani wakati huu? Ndio unakuta anahangaika kukupora watoto(akae na wajukuu) ili mradi tu apate wa kupiga naye story
 
Hadi hapo umekubali kuwa hakuna mtu unaenda kupeleka wazo lako kali la biashara halafu unaendesha gari la $2000 hadi $5000. Kama umeingia kwenye business umewahi kutafuta wawekezaji kwenye business idea yako utajua hii. Which means kama una gari kali linaonesha uko vyema (Kuanzia kwenye credit scores zako) so mtu anajua anaweza kutia hela kwenye wazo lako. Otherwise unaonekana ni mganga njaa.
Elon Musk aliishi kwenye apartment, wakati ana wazo lake la kumiliki kampuni kubwa ya space X.

Gari au nyumba si kipimo cha utajiri au kuwa na hela.

Kuna mabilionea wana mipunga mirefu na wanaishi maisha ya kawaida tu.

Ni ulimbukeni na ujinga wa waafrika wengi kudhani gari kali ni utajiri na mafanikio.
 
Ni kitu gani hasa kinamfanya asipende kuishi Tanzania?
Sijamuuliza sababu, ila kuna vitu nimemuinspire naamini ndio inafanya awaze kwenda nje, so basically anatamani akiua kidato cha nne walau akasome kwenye nchi zenye barafu za kutosha huko
 
Unafikiri kila mtu ana mawazo ya kumiliki gari na ghorofa kali?

Umaskini na ujinga wa waafrika wengi, ndio vinawafanya kufikiri ghorofa na gari ni mafanikio.

Kumbe ni ulimbukeni tu.

Elon Musk hana nyumba. Anakaa kwenye apartment. Na ndio tajiri namba moja duniani.

Mafukara mkipata vijisenti kidogo, mnataka kushusha lighorofa laku tambia makapuku wenzenu.

After 5 years. Mjengo unaanza kuchakaa. Hela ya kufanya maintenance hamna.

Ghorofa linabaki ghofu na makazi ya popo.

Yaleyale ya Raisi wa Congo Mobutu seseseko kuku wa za Banga. Alijenga majengo mengi, sasa hivi, yamebaki magofu na makazi ya popo na bundi.
Kumbe una akili hivi mkuu

Nilivyokuwa nakuona unapinga uwepo wa Mungu nikawa nakuhitimisha kwamba huna akili kabisa. Nisamehe Bure

Ukianza na kumtambua Mungu nitakuwa sina shida tena yoyote na wewe.
 
Kuamini Mungu au kutokuamini Mungu si kipimo cha akili.

Hakuna Mungu.

Mungu si kipimo cha akili.
 
Sijamuuliza sababu, ila kuna vitu nimemuinspire naamini ndio inafanya awaze kwenda nje, so basically anatamani akiua kidato cha nne walau akasome kwenye nchi zenye barafu za kutosha huko
Ni jambo la kheri

Tunamtakia masomo mema

Mfundishe roho ya kuridhika, mfundishe pia hakuna mali au kitu chochote kinaweza kumpa furaha au heshima kama hatajikubali kwanza yeye kwa jinsi alivyo bila kutegemea external validation and acceptance
 
Elon Musk aliishi kwenye apartment, wakati ana wazo lake la kumiliki kampuni kubwa ya space X.

Gari au nyumba si kipimo cha utajiri au kuwa na hela.

Kuna mabilionea wana mipunga mirefu na wanaishi maisha ya kawaida tu.

Ni ulimbukeni na ujinga wa waafrika wengi kudhani gari kali ni utajiri na mafanikio.
Wanaonekana wana maisha ya kawaida (Hata ukikaa kwenye neighborhoods zao unaweza usijue), ila kama unajua brands, utajua the guys wanaishi expensive life ever. Mathalan ukiwa unajulikana lazima liwe lenye high security kuzuia majanga, gari yeyote yenye vyuma vizito na high security ni gharama. And thus gharama ya gari inaonesha thamani yako, not only tz but dunia nzima.
 
Ni jambo la kheri

Tunamtakia masomo mema

Mfundishe roho ya kuridhika, mfundishe pia hakuna mali au kitu chochote kinaweza kumpa furaha au heshima kama hatajikubali kwanza yeye kwa jinsi alivyo bila kutegemea external validation and acceptance
Kuridhika kwa kweli sifundishi, nafundisha kupambana, kanipa matokeo kafaulu nimemwambia aisridhike aniletee A zote. Na napenda mizuka yake ya kufanya makubwa na namwambia asiridhike kwa jinsi nilivyo bali aanzie nilipo ili nasi siku moja tukae meza moja na wakubwa. So sifundishi kuridhika, nafundisha kupambana kufikia ndoto.

Ila sifundishi chuki, kama kuna mtu anacho ambacho huna sio sababu ya kumchukia bali kujifunza kawezaje. Mathalani hawa wenye maghorofa na magari makali wameyapataje ili tujifunze tutoboe na sisi
 
Hadi hapo umekubali kuwa hakuna mtu unaenda kupeleka wazo lako kali la biashara halafu unaendesha gari la $2000 hadi $5000. Kama umeingia kwenye business umewahi kutafuta wawekezaji kwenye business idea yako utajua hii. Which means kama una gari kali linaonesha uko vyema (Kuanzia kwenye credit scores zako) so mtu anajua anaweza kutia hela kwenye wazo lako. Otherwise unaonekana ni mganga njaa.
Ni mentality ya mtu. Kuna mtu namjua anakampuni ya tour huku Mbeya. Anatembelea Noah, infacts kuna incidents anaweza panda boda kama hakuna ulazima wa gari au foleni au kuwahi.

Ana gari za tour za tour zaidi ya 30+,ukifika kwakwe nyingi hazijatoka unaweza badili msimamo kwa namna moja au nyingine.
 
Kuridhika kwa kweli sifundishi, nafundisha kupambana, kanipa matokeo kafaulu nimemwambia aisridhike aniletee A zote. Na napenda mizuka yake ya kufanya makubwa na namwambia asiridhike kwa jinsi nilivyo bali aanzie nilipo ili nasi siku moja tukae meza moja na wakubwa. So sifundishi kuridhika, nafundisha kupambana kufikia ndoto.

Ila sifundishi chuki, kama kuna mtu anacho ambacho huna sio sababu ya kumchukia bali kujifunza kawezaje. Mathalani hawa wenye maghorofa na magari makali wameyapataje ili tujifunze tutoboe na sisi
Upambane ili iweje mkuu, ili ugundue nini? Upambane ili uwe na ghorofa na gari kali? Hayo ni matumizi mabaya ya muda mchache uliopewa kuwa hapa duniani

Huhitaji kupambana kwa ajili ya chochote, everything is already in abundance

Unapopambana kichwani unakuwa na scarcity mindset

Usimlazimishe mtoto apate A tu kwenye masomo yote darasani, hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa maisha mazuri na kupata A darasani.

Bado unahitaji ukombozi wa fikra no wonder mwanao naye ameanza kufikiri kuwa na ghorofa ndiyo kufanikiwa maishani
 
Ni mentality ya mtu. Kuna mtu namjua anakampuni ya tour huku Mbeya. Anatembelea Noah, infacts kuna incidents anaweza panda boda kama hakuna ulazima wa gari au foleni au kuwahi.

Ana gari za tour za tour zaidi ya 30+,ukifika kwakwe nyingi hazijatoka unaweza badili msimamo kwa namna moja au nyingine.
Nina jirani yangu hapa karibu uwanjani kwake amepaki gari 8 za kutembelea ikiwemo VX moja na mara nyingi tu utamuona amekodi boda boda na wakati mwingine hutembea kwa miguu.

Kwahiyo ni mindset tu ndiyo shida
 
Wanaonekana wana maisha ya kawaida (Hata ukikaa kwenye neighborhoods zao unaweza usijue), ila kama unajua brands, utajua the guys wanaishi expensive life ever. Mathalan ukiwa unajulikana lazima liwe lenye high security kuzuia majanga, gari yeyote yenye vyuma vizito na high security ni gharama. And thus gharama ya gari inaonesha thamani yako, not only tz but dunia nzima.
Elon Musk hana haja kumiliki gari kali ili aonekane tajiri. Yeye ni mmiliki wa kampuni nzima ya Tesla.

Kwa hiyo utajiri si gari. Gari ni material thing, basic need ya kawaida kwa mtu.

Unaweza kumiliki gari kali halafu, likipata hitilafu kidogo, Hela ya kutengeneza huna. Mpaka ujichange tena.

Sasa wewe sio tajiri. Na huo sio utajiri.

Bado wewe ni maskini una struggle ku survive.

Ukiweza kumiliki kampuni, au kuwa na uwezo wa kumiliki gari yoyote kali kwa wakati wowote, na kufanya maintenance wakati wowote, huo ndio utajiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom