Ntampata wapi kama huyu...

Ntampata wapi kama huyu...

Uoga tu unakusumbua.
Kwani ukipiga deki unakua kilema??

Will you stop that pliizz???
Kupiga deki ni kitu tofauti na kukusupport.
Ukinisaidia kupiga deki haimaanishi kuwa I can't help you achieve your goals as my husband.

Mh..utakuwa mke mkali wewe!

Dada gfsonwin..come zis way unisaidie kumfanyia vetting huyu!
Bro Mtambuzi...hapo unaonaje???!

Babu Asprin..plizzzzzzzzzzzzz stay away from this post!!!
 
Last edited by a moderator:
Siamini hivyo Evelyn Salt, ntampata mmoja mzuri na mrembo kama wewe...ila siye na 'challenge' kama wewe! (am even shocked ayo maudhi umeyaita challenge!!!!):nono:[/QUOTE]

Nani sasa...
- Evelyn Salt anayeniita mbahili

- Smile anayeona kila mwanaume ni mbaya

- Asnam anayetaka shopping Itally alafu tunaishi nyumba ya kupanga

- Kipipi anayetaka haki sawa ndani..yeye akipika mimi napiga deki?

- au nani sasa??!

tatizo lako unacompliketisha mambo wewe shauri ako utazeeka hujapata mke.......
ukitaka mmoja wapo kati ya hawa ni easy tu!!!
Evelyn Salt na Asnam .....tafuta hela uache ubahili na ufanye hiyo shopping inayotakiwa.
Kipipi mi sioni tatizo wewe kudeki wakati ye akiosha vyombo hayo ndo mapenzi yenyewe sasa.
hapo kwa Smile ishu nyingine tena, utahitaji kazi ya ziada ili ajue wewe si kama wanaume wengine.
 
Last edited by a moderator:
Mh..utakuwa mke mkali wewe!

Dada gfsonwin..come zis way unisaidie kumfanyia vetting huyu!
Bro Mtambuzi...hapo unaonaje???!

Babu Asprin..plizzzzzzzzzzzzz stay away from this post!!!

Hahah bahati nzuri niko very simple but reasonable.
Sio mkali ila huwa ninaongea kwa nukta. . . . japo kwa baadhi ya mambo naweza kuwa. Mentor ukitaka mke kama mimi basi uondoe ile dhana ya "MIMI NI MWANAUME BWANA"

Otherwise . . . .hayo mengine ni wasiwasi wako tu!
 
Last edited by a moderator:
Siamini hivyo Evelyn Salt, ntampata mmoja mzuri na mrembo kama wewe...ila siye na 'challenge' kama wewe! (am even shocked ayo maudhi umeyaita challenge!!!!):nono:

tatizo lako unacompliketisha mambo wewe shauri ako utazeeka hujapata mke.......
ukitaka mmoja wapo kati ya hawa ni easy tu!!!
Evelyn Salt na Asnam .....tafuta hela uache ubahili na ufanye hiyo shopping inayotakiwa.
Kipipi mi sioni tatizo wewe kudeki wakati ye akiosha vyombo hayo ndo mapenzi yenyewe sasa.
hapo kwa Smile ishu nyingine tena, utahitaji kazi ya ziada ili ajue wewe si kama wanaume wengine.[/QUOTE]

Umeona eeh shosti!!!
Huyu Mentor kweli tatizo lake anacomplicate mambo.
Basi asubiri kuoteshwa kama wengine wafanyavyo.
 
Last edited by a moderator:
553582_10151035310472243_687344054_n.jpg

Already wifed her some 15 years ago. If you happen to meet another of the kind, be sure that she is mine's dublicate since mine can be dublicated!
 
tatizo lako unacompliketisha mambo wewe shauri ako utazeeka hujapata mke.......
ukitaka mmoja wapo kati ya hawa ni easy tu!!!
Evelyn Salt na Asnam .....tafuta hela uache ubahili na ufanye hiyo shopping inayotakiwa.
Kipipi mi sioni tatizo wewe kudeki wakati ye akiosha vyombo hayo ndo mapenzi yenyewe sasa.
hapo kwa Smile ishu nyingine tena, utahitaji kazi ya ziada ili ajue wewe si kama wanaume wengine.

Ngoja nifikirie afadhali ni yupi hapo!!!

Hahah bahati nzuri niko very simple but reasonable.

simple n reasonable...:A S 39:
 
MMh! Hawa hawapatikani Dar, Mwanza wala Arusha. We nenda ukajipatie raha kijijini ndo wamebaki.
 
kijijini wapo wakina zubeda.....!!!!!!!
mimi natoka MWANZA

huyu Mentor analeta habari za tulikotoka kwani anaoa mkoa,wilaya,kijiji au binadamu(mapenzi)hayachagui hayo we kijana acha ubaguzi ujue, halafu mie nimejitoa kwenye mashindano rasmi naona mchuano hauzai matunda.
 
Ngoja nifikirie afadhali ni yupi hapo!!!

simple n reasonable...:A S 39:
naomba ww uwe salama mie Master J nikusaidie kuangalia mwenye unafuu,mi nimejitoa kwenye mashindano loh
 
Mh..utakuwa mke mkali wewe!

Dada gfsonwin..come zis way unisaidie kumfanyia vetting huyu!
Bro Mtambuzi...hapo unaonaje???!

Babu Asprin..plizzzzzzzzzzzzz stay away from this post!!!

mwanamke mkali wapi!!!!!!!!! ukipiga deki yy roho inasuuzika mnaishi kwa amani,KIPIPI ni human activist loh lazima apractice kuanzia nyumbani kwake huyo anakufaa sana.
 
kumpata unayemtaka kwa kupitia macho na maneno ya watu utasubiri sana rafiki weka kitu ndani ujionee mwenyewe

unaweza ukaona umeweka parachichi kumbe bom ulingata linalipuka:
unaweza ukadhani unachenza kumbe limao badala ya utam ikawa chachu; unaweza ukajua umeweka manukato kumbe uvundo ukifunua haukai kuwa makin kabla hujaweka ndugu chura anapenda maji lakin si ya moto, maji n ni maji la kin ya betri haya nyweki! Kumbuka {LAYA N LAYA AFRIKA AU ULAYA}
 
Mentor too much theories bana just amua and utaona.
hivi huoni dada zako jamani tunavyoish ama unafikiri tuliondoka home na akili za mama ama mama yetu ndo alilea kwa maadili pekee??

swala ni kina gfsonwin mko wangapi!!?kusema ukweli zoezi linatisha mno..
 
Back
Top Bottom