Nimesikitishwa sana na jinsi ambavyo shirika la umma kama NSSF lilivyoingiliwa na udini uliotamalaki hasa katika masuala ya ajira na kupanda vyeo. Nakumbuka nikiwa katika pannel ya interview hali ilivyokuwa mbaya japo shirika linaendeshwa na msomi ila ameshindwa kujizuia katika kuonyesha udini ndani ya shirika. Interview hiyo ya kutafuta maofisa mafao na wahasibu wasaidizi hali ilikuwa tete sana, Ni vijana wengi waliomba na hakika si wote wangechukuliwa ila cha kushangaza pale kwenye interview kulikuwa na vituko usipime, walipokuwa wanajibu swali hata bila kuzingatia majibu yaliyotolewa alikuwa anakoment GOOD, na comment zingine za ajabu na kuwakatisha tamaa Watu wenye majina ya Kikristo hata kabla hawajieleza. Ni kweli kipimo chaweza kuwa elimu ila nilishuhudia vijana wengi wamejieleza vizuri na wakiwa na point nyingi kwa watu wengine tuliokuwa nao katika pannel lakini mwisho wa siku watoto wa kikriso waliopata nafasi walikuwa ni wale wa viongozi wa juu serikaliji pekee na zaidi ya 80% ya waliochukumiwa wakiwa waislam. Kuwa hukua waislam si mbaya bali wawe na uwezo sasa maana mngepata nafasi ya kufanya nao kazi sasa duuuu ni shughuli maana wengi kwa kweli ni vilalza usipime. Anyway tunakoelekea mtasikia tu habari kama shirika halijaenda ICU mtanikumbusha kwa huu uzi b
NSSF ilikuwa inaelekea kaburini kabla ya ujio wa Dau. Watu walikuwa wakilia mafao yao hawapati mpaka wahonge na wala hawajui wana kiasi gani, wizi mtupu.
Baada ya Dau, NSSF ni taasisi inayochangia kwa hali ya juu uchumi wa Tanzania na imeboreka kila nyanja na imekuwa ya kisasa zaidi.
Tatizo lenu ni Udini unawasumbuwa, hampendi kuona maendeleo yanayoletwa na Waislaam.
Leo Kikwete amefanya kuliko Rais yeyote wa kabla yake lakini utakuta wanaomponda ni hao hao. Na hiyo yote inatokana na chuki ya kuwa wao kila wanapowekwa wananuwa kila kitu. Hata Nyerere aliiuwa Tanzania ikawa nchi ya mwisho kwa umasikini duniani wakati wa utawala wake, alipokuja Mzee Ruksa kila kitu kikabadilika na kila alipopita alipendwa na watu wote kasoro ya wale wale kina mleta mada.
Ni heri ya wale wachomao makanisa mchana kweupe atleast unaweza ukatafuta ndoo ya maji au mchanga ukajaribu kuzima kuliko yule akuuguzae usiku ukiwa umelala.Mleta mada hana jipya ni wivu na udini ndio vimsumbuavyo!.
Hapo kwenye blue, sasa kumbe pia wakristo nao walipata nafasi.
Hapo kwenye red, unajuaje waliochaguliwa ni vilaza?hata kazi yenyewe hawajaianza.Au matarajio yako binafsi kwenye hiyo interview hayakutimizwa?
Rejea hotuba za mwalimu nyerere kuhusu udini labda zinaweza kukusaidia.
mkuu maneno yako kuntu kabisa na ya busara
JK ni rais bora kuliko wote waliomtangulia... ufisadi aliofanya mkapa... kipindi cha JK ameuweka hadharani.. uhuru wa vyombo vya habari... freedom of speech ... watu hawayaoni mazuri ya JK sababu ni muislam... NSSF ilikuwa ICU sasa ni shirika lenye kufanya mambo yakaonekana wazee wanalipwa kwa wakati... watu hawayaoni haya sababu linaendeshwa na muislam...
kuna mijitu ina roho ya kwanini kwa waislam... hawataki kuona mahala au ofisi ina waislam 3 mkristo 1 ....
mbona TRA wamejazana wachaga na wakristo.. hakuna anayepiga kelele ....
mtoa mada get a life !
Join Date : 14th October 2012
Posts : 12
Rep Power : 303
Likes Received1
Likes Given0
Karibu sana jamvini Mkuu,lakini tarehe yako ya kujiunga hapa inanitia mashaka kuwa umetumwa kueneza kitu fulani hivi kwa maslahi ya watu fulani! Anyway si huwa wanaitwa hawa waislamu wazee wa ubwabwa na madrasa vipi hao waliopata kazi wamesoma kweli umeangalia vyeti vyao vizuri?
Vipi una chuki binafsi na Dr.Dau nini? unaweza kututhibitishia aliyasema wapi maneno hayo? utupe na context yake Mkuu!
Tatizo hapa ni kuwa hamjazoea kuwaona Waislamu katika posti kama hizo! mnataka kila kitu muwe nyie tu... lakini taratibu tutawafanya mzoee!...ili kumuweka Obote madarakani!
Nimeshaisikia hiyo hotuba siku nyingi. Kulikuwa na sababu zilizopelekea Mwinyi kuikuta nchi katika hali mbaya ya kiuchumi. Tulikuwa vitani na silaha zote tulinunua fedha taslimu. Lakini yeye badala ya kutoza kodi, pato kubwa la serikali, akawaachia wafanyibiashara na kampuni za kigeni kwa misamaha ya kodi. Hapo hapo viwanda ambavyo vilikuwa vinailetea serikali pato, kama vile Breweries wakapewa Makaburu kwa bei ya chee. Ni Mkapa ndiye aliyeshupalia kodi na kuanzisha TRA na mpaka wakati anaondoka mamlakani alikuwa na fedha za surplus ambazo Kikwete amekuja kuziteketeza kwa safari zake zisizo na tija. Swali langu bado ni lile like: leo uchumi umepanuka kukiwa na mapato ya utalii, madini na gesi, lakini mbona serikali bado imefilisika? Tafakari.
Nimesikitishwa sana na jinsi ambavyo shirika la umma kama NSSF lilivyoingiliwa na udini uliotamalaki hasa katika masuala ya ajira na kupanda vyeo. Nakumbuka nikiwa katika pannel ya interview hali ilivyokuwa mbaya japo shirika linaendeshwa na msomi ila ameshindwa kujizuia katika kuonyesha udini ndani ya shirika. Interview hiyo ya kutafuta maofisa mafao na wahasibu wasaidizi hali ilikuwa tete sana, Ni vijana wengi waliomba na hakika si wote wangechukuliwa ila cha kushangaza pale kwenye interview kulikuwa na vituko usipime, walipokuwa wanajibu swali hata bila kuzingatia majibu yaliyotolewa alikuwa anakoment GOOD, na comment zingine za ajabu na kuwakatisha tamaa Watu wenye majina ya Kikristo hata kabla hawajieleza. Ni kweli kipimo chaweza kuwa elimu ila nilishuhudia vijana wengi wamejieleza vizuri na wakiwa na point nyingi kwa watu wengine tuliokuwa nao katika pannel lakini mwisho wa siku watoto wa kikriso waliopata nafasi walikuwa ni wale wa viongozi wa juu serikaliji pekee na zaidi ya 80% ya waliochukumiwa wakiwa waislam. Kuwa hukua waislam si mbaya bali wawe na uwezo sasa maana mngepata nafasi ya kufanya nao kazi sasa duuuu ni shughuli maana wengi kwa kweli ni vilalza usipime. Anyway tunakoelekea mtasikia tu habari kama shirika halijaenda ICU mtanikumbusha kwa huu uzi b
wewe acha upofu Tanzania inapata mrahaba tu kwenye madini na ajira kwa watu wake lkn haichimbi madini, na mikataba feki ya madini yote iliingiwa kipindi cha mkapa, na mashirika yote aliuzia wazungu na kuyabinafsisha leo unasema eti aliacha hela, uko nyuma sana na hakuna hata moja unalojua, kikwete anapambana na ufisadi ndo maana amekuwa pilix2 kwenu, hata mkikaaa makanisani mnawatetea mafisadi kwa sababu ya michango tu wanayoipata tena kutokana na mafisadi. NSSF inafanya vizuri, na mpost mada amehemkwa tu na roho mbaya ya kikatoliki lkn hakuna lolote, Mzee DAU Piga mzigo, hata kwa mtutu NSSF hawakutoi kwani utumishi wako umetukuka hadi moyoni. wakiristo tumuige DAU, kwa sababu ktk kampuni zote TZ NSSF pekee ndo inafanya kazi ya kuendeleza uchumi, angalia chuo cha UDM, Daraja la Kigamboni, Miradi ya kuzalisha Umeme, mchuchuma, majengo mbalix2 Tz nzima. bado bila haya unamsema DAU vibaya ama kweli wewe umetumwa na kanisa.Ndio kuna haja. Wakati wa Nyerere inaeleweka pato letu lote lilitumika katika vita vya Uganda.Nikisema pato letu namaanisha fedha za kigeni. Ni kwa nini basi Kikwete anaiacha nchi imefilisika wakati tunachimba madini ya dhahabu, mkaa wa mawe na gesi? Ni kwa nini wakati ambapo mwenzake Mkapa alijitahidi kubalance bajeti na kuacha surplus? Ni kwa nini?
Roho yako mbaya tuu huwapendi Waislam punguza chuki yako binafsi .....Nimesikitishwa sana na jinsi ambavyo shirika la umma kama NSSF lilivyoingiliwa na udini uliotamalaki hasa katika masuala ya ajira na kupanda vyeo. Nakumbuka nikiwa katika pannel ya interview hali ilivyokuwa mbaya japo shirika linaendeshwa na msomi ila ameshindwa kujizuia katika kuonyesha udini ndani ya shirika. Interview hiyo ya kutafuta maofisa mafao na wahasibu wasaidizi hali ilikuwa tete sana, Ni vijana wengi waliomba na hakika si wote wangechukuliwa ila cha kushangaza pale kwenye interview kulikuwa na vituko usipime, walipokuwa wanajibu swali hata bila kuzingatia majibu yaliyotolewa alikuwa anakoment GOOD, na comment zingine za ajabu na kuwakatisha tamaa Watu wenye majina ya Kikristo hata kabla hawajieleza. Ni kweli kipimo chaweza kuwa elimu ila nilishuhudia vijana wengi wamejieleza vizuri na wakiwa na point nyingi kwa watu wengine tuliokuwa nao katika pannel lakini mwisho wa siku watoto wa kikriso waliopata nafasi walikuwa ni wale wa viongozi wa juu serikaliji pekee na zaidi ya 80% ya waliochukumiwa wakiwa waislam. Kuwa hukua waislam si mbaya bali wawe na uwezo sasa maana mngepata nafasi ya kufanya nao kazi sasa duuuu ni shughuli maana wengi kwa kweli ni vilalza usipime. Anyway tunakoelekea mtasikia tu habari kama shirika halijaenda ICU mtanikumbusha kwa huu uzi b