NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

Status
Not open for further replies.
Mleta maada amesema kuna udini NSSF, ambao watu wengi pia wameshawahi kusema. Lakini nashangaa kuna watu wanaingiza mambo ya siasa tena sijui kuanzia Nyerere hadi Kikwete (marais waislamu vs. marais wakristo). Nadhani hii ni njia ya kukwepesha maada. Maada hapa ni kwamba NSSF kuna udini. Huko nyuma watu wameshanguzumzia kuwa TRA kuna ukabila, Benki kuna Ukabila n.k. Sasa kwa nini hapa tukimbilie kwenye siasa badala ya kujadili maada yenyewe?
Ndg ukitaka kuongelea udini nchi hii utakuta pale kunapokuwa na usawa ktk kampuni ndo udini huo ila wakizidi wakiristo ndo sio udini, angalia maofisi ya serikali yote wamejazana wakiristo halafu kwa ufisadi sasa ndo wenyewe. sidhani NSSF kama kuna udini bali kuna usawa. na mnchotaka ninyi hapa ni nyie muwe wengi basi ila usawa hamuutaki. NSSF wakiristo wapo kibao.
 
Hivi kuna haja ya kuelezea kuwa wakati wa nyerere watu walivaa katambuga, walipanga foleni kwa ajili ya unga wa njano, n.k, n.k?
Kuna haja ya kuelezea kuwa Nyerere aliiacha nchi ikiwa imefilisika?
ndio ipo haja ya kuelezea wakati wa nyerere watu walikosa nguo ya kuvaa wakawa wanavaa magunia ya mbolea huku wanapiga makofi kumsifia, wengi wao wameelezwa mazuri ya nyerere kumbe nyerere mabaya yake ni mengi zaidi kuliko mema yake. yanayo tokea sasa ni mavuno ya mbegu alizo zipanda.
 
Mleta maada amesema kuna udini NSSF, ambao watu wengi pia wameshawahi kusema. Lakini nashangaa kuna watu wanaingiza mambo ya siasa tena sijui kuanzia Nyerere hadi Kikwete (marais waislamu vs. marais wakristo). Nadhani hii ni njia ya kukwepesha maada. Maada hapa ni kwamba NSSF kuna udini. Huko nyuma watu wameshanguzumzia kuwa TRA kuna ukabila, Benki kuna Ukabila n.k. Sasa kwa nini hapa tukimbilie kwenye siasa badala ya kujadili maada yenyewe?

Kwa kuwa Mkurugenzi ni Muislaam? au kwa kuwa wanaajiriwa Waislaam? au kwa kuwa Wakristo humo wananyanyaswa?

Mnaleta chokochoko kwa kuwa Dau anafanya kweli.

Nakwambiua hivi, kama anaajiri Waislaam na NSSF wanafanya vizuri sana kwa sasa kuliko walipokuwa hawaajiriwi Waislaam, kwanini asiendelee kuajiri Waislaam wakati wasio Waislaam waliliuwa shirika? Kama udini wa NSSF umesaidia kulihuisha hilo shirika sijui taasisi basi ni hapo inafaa uutukuze Uisaam kwa kufanya vyema na si kuuponda. Au wewe unaonaje? basi kwa kuwa si Muislaam hata akifanya vibaya asifiwe tu? na Muislaam hata akifanya vizuri apondwe tu? huo ndio mtazamo wako?
 
Kwa kuwa Mkurugenzi ni Muislaam? au kwa kuwa wanaajiriwa Waislaam? au kwa kuwa Wakristo humo wananyanyaswa?

Mnleta chokochoko kwa kuwa Dau anafanya kweli.

Unasikia Zomba, suala si kwa sababu Dau yuko pale. Mimi binafsi sipendi tabia yoyote ya ubaguzi (ukabila, ueneo, udini, hata wa rangi), hivyo ambacho ningependa kutoka kwako ni vipi unaweza kukanusha hizo tuhuma kwamba siyo kweli jamaa ni mdini. Na huko nyuma watu pia wameshema sehemu nyingine kujaza wakristo sana, kujaza wachaga sana, n.k. Kwa hiyo kumzuia mtu asiseme tuhuma za mtu siyo sahihi. Jambo ambalo unatakiwa kufanya ni kuonyesha jinsi gani tuhuma hizo siyo za kweli.
 
Kuna watu humu kila akileta mada ni UDINI...Ofisi ya serikali ikiwa na waislamu wengi tu eti Udini...yani upuuzi upuuzi...ebu mtoa mada atoe mchanganuo wa mashirika yote kama PSPF,LAPF,PPF,TRA kote wamejaa waislam hivi watu hawana mambo ya kujadili? MLETA MADA pole kwa kukosa kazi jaribu ujasiriamali

Nadhani ujasiriamali unaomfaa huyu mpuuzi ni wa pale kona baa sinza- hakuna lingine awezalo mshenzi huyu!!!
 
Dau kaendekeza sana udini pale nssf,hajui anatengeneza bomu ambalo muda si mrefu litamlipukia
kitendo cha kugeuza shirika jopo la waislam ni hatari sana.
Tupinge tusipinge always ukweli hujitenga na uongo
Tuombe uzima!
 
Utakufa na chuki binafsi...waislam wakisema nyerere alikuwa mdini tena kwa Hoja mnasiliba eti "acheni kulalamika" sasa nakushauri nawe anzisha shirika lako fanya UDINI wako hapo..vinginevyo kojoa ukalale puuuh tushachoka sasa aah
 
Dau kaendekeza sana udini pale nssf,hajui anatengeneza bomu ambalo muda si mrefu litamlipukia
kitendo cha kugeuza shirika jopo la waislam ni hatari sana.
Tupinge tusipinge always ukweli hujitenga na uongo
Tuombe uzima!
Mimi nadhani kama ni bomu lipo nchi nzima na sekta zote walikojazana wakiristo na kudhulumu wenzao, ni kheri waislamu wanajazana lkn wanafanya vitu vinaonekana na kutenda haki, lkn wakiristo wakijazana mahali kazi yao ni kufikiria tu jinsi ya kudidimiza uislam. poleni sana.
 
Mimi ni mkristo pure.. Lakini kusema kweli katika mashirika ya uma yanayojitahidi sana NSSF ndo inaongoza, kama kuna mtu anabisha anitajie mashirika ya uma yanayofanya vizuri sana kuizidi NSSF ?

Mkuu naamini spirit hii ya kuwa wakweli tunaweza kusaidia kuijenga hii nchi inayochakachuliwa na wakubwa-pale tunapopata kiongozi aliye makini ni vyema akapewa sifa zake ili kumtofautisha na walio zezeta, hii inaweza kusaidia hao mazezeta wakaona aibu na kubadilika. Kwenye mashirika yetu ya umma namkubali sana mkurugenzi mkuu wa NHC na huyu Dau wa NSSF bila kujali dini zao, huyu mleta mada za udini na wenziwe wa ukabila wanastahili makonzi kwa sana!!
 
Nimesikitishwa sana na jinsi
ambavyo shirika la umma kama NSSF lilivyoingiliwa na udini uliotamalaki
hasa katika masuala ya ajira na kupanda vyeo. Nakumbuka nikiwa katika
pannel ya interview hali ilivyokuwa mbaya japo shirika linaendeshwa na
msomi ila ameshindwa kujizuia katika kuonyesha udini ndani ya shirika.
Interview hiyo ya kutafuta maofisa mafao na wahasibu wasaidizi hali
ilikuwa tete sana, Ni vijana wengi waliomba na hakika si wote
wangechukuliwa ila cha kushangaza pale kwenye interview kulikuwa na
vituko usipime, walipokuwa wanajibu swali hata bila kuzingatia majibu
yaliyotolewa alikuwa anakoment GOOD, na comment zingine za ajabu na
kuwakatisha tamaa Watu wenye majina ya Kikristo hata kabla hawajieleza.
Ni kweli kipimo chaweza kuwa elimu ila nilishuhudia vijana wengi
wamejieleza vizuri na wakiwa na point nyingi kwa watu wengine tuliokuwa
nao katika pannel lakini mwisho wa siku watoto wa kikriso waliopata
nafasi walikuwa ni wale wa viongozi wa juu serikaliji pekee na zaidi ya
80% ya waliochukumiwa wakiwa waislam. Kuwa hukua waislam si mbaya bali
wawe na uwezo sasa maana mngepata nafasi ya kufanya nao kazi sasa duuuu
ni shughuli maana wengi kwa kweli ni vilalza usipime. Anyway
tunakoelekea mtasikia tu habari kama shirika halijaenda ICU
mtanikumbusha kwa huu uzi b

Mkiona jina la kiislamu mnasikia "Ukakasi" mdomoni kama unaona mtu anayekula ndimu au embe dodo bichi si! Acha ulimbukeni!
 
utakufa na chuki binafsi...waislam wakisema nyerere alikuwa mdini tena kwa hoja mnasiliba eti "acheni kulalamika" sasa nakushauri nawe anzisha shirika lako fanya udini wako hapo..vinginevyo kojoa ukalale puuuh tushachoka sasa aah
inferiority complex is eating you alive guys,no one to help you!!
poleni sana!!
 
kama waislam wamejazana nssf basi inabidi wapewe pongezi, kwani ni shirika pekee nchini linaloonyesha maendeleo kila mtanzania anaona, nitafauti na mashirika mengi yanayoongozwa na wagalatia, yanaongoza kwa ufisadi na hakuna maendeleo yoyote

kama nssf kunawaislam basi nimfano wa kuigwa na kuelewa kuwa waislam wanavyeti sio feki na si mafisadi bali ni wachapa kazi, naamini tukiwaondoa wagalatia kwenye nafasi nyingi za kazi nchi yetu itapiga hatua

is time to get ridoff all corrupt, greedy chrsitian

acha kauli za kihuni wewe.....linaendeshwa kwa manufaa kivipi wakati hata vijisenti vyetu tulivyoweka kwa kujinyima ili tuchukue pindi ajira zetu zinapokoma wameanza kuvikatalia na kutuwekea masharti wkt ni vyetu na sisi ndiyo inatakiwa tuwape masharti......
 
Aliingia Mkapa mamlakani akakuta serikali imefilisika kutokana na mzee Mwinyi kutowatoza kodi marafiki zake wafanyibiashara wa Kiarabu na Kihindi. Mkapa akafunga mkanda akaanza kukusanyisha kodi kama mwendawazimu vile. Kufikia wakati anaondoka mamlakani aliiacha serikali katika hali nzuri kifedha, sukari ikiwa shilingi mia sita kwa kilo na mchele shilingi mia nane. Akaingia huyu Vasco Da Gama kitu cha kwanza alichofanya ni kufumua baraza la mawaziri 60 na ushee, matumizi yasiyo na kipimo, na safari zisizo na tija. Matokeo yake serikali imefilisika. Leo bei ya mchele inakaribia shilingi elfu tatu kwa kilo, na bei ya nyama ndiyo usiseme kabisa. Hivi sasa serikali karibia inafilisika kiasi kwamba namwonea huruma rais atakayechukua 2015. Atakuta hazina tupu. Niendelee?
haya maneno ni zaidi ya kufikiria big up mkuu,yanafaa ybandikwe kwenye lile geti la magogoni
 
hizi sasa ni dharau! mh!

Wala siyo dharau mkuu! kuna watu kila kukicha wanawaandama waislamu kuwa ni wazee wa elimu akhera (madrasa) na ubwabwa! Sasa nauliza hao wahasibu wenye sifa za kuajiriwa nssf watakuwa wahasibu wa madrasa na masahani ya ubwabwa au?
 
Unasikia Zomba, suala si kwa sababu Dau yuko pale. Mimi binafsi sipendi tabia yoyote ya ubaguzi (ukabila, ueneo, udini, hata wa rangi), hivyo ambacho ningependa kutoka kwako ni vipi unaweza kukanusha hizo tuhuma kwamba siyo kweli jamaa ni mdini. Na huko nyuma watu pia wameshema sehemu nyingine kujaza wakristo sana, kujaza wachaga sana, n.k. Kwa hiyo kumzuia mtu asiseme tuhuma za mtu siyo sahihi. Jambo ambalo unatakiwa kufanya ni kuonyesha jinsi gani tuhuma hizo siyo za kweli.

Kila Muislaam ni mdini, si ndiyo? tuhuma ni ipi hapo sijaiona. Au wewe unaweza kuiainisha hapa hiyo tuhuma?
 
Kama Waislam wamejazana NSSF basi inabidi wapewe pongezi, kwani ni shirika pekee nchini linaloonyesha maendeleo kila mtanzania anaona, Nitafauti na Mashirika mengi yanayoongozwa na wagalatia, yanaongoza kwa ufisadi na hakuna maendeleo yoyote

Kama nssf kunawaislam basi nimfano wa kuigwa na kuelewa kuwa waislam wanavyeti sio feki na si mafisadi bali ni wachapa kazi, naamini tukiwaondoa wagalatia kwenye nafasi nyingi za kazi nchi yetu itapiga hatua

Is time to get ridoff all corrupt, greedy chrsitian

fuatilia ufisadi uliopo nssf ni wa kutisha.
 
Ndiyo matatizo ya wabongo .....kwahiyo ungepata wewe kazi NSSF ingekuwa safi,ila kwakuwa hukupata wewe unaejiona unafahamu sana na wenzako wote vilaza basi ndiyo imekuwa tabu......HAPO HUNA POINT ILA CHOKO CHOKO TU,UKITAKA KUSIKILIZWA KAMA MSOMI LETA HOJA NA SIYO UHSABIKI
 
..unaona unavyoendeleza dharau?

Back
Top Bottom