wewe acha upofu Tanzania inapata mrahaba tu kwenye madini na ajira kwa watu wake lkn haichimbi madini, na mikataba feki ya madini yote iliingiwa kipindi cha mkapa, na mashirika yote aliuzia wazungu na kuyabinafsisha leo unasema eti aliacha hela, uko nyuma sana na hakuna hata moja unalojua, kikwete anapambana na ufisadi ndo maana amekuwa pilix2 kwenu, hata mkikaaa makanisani mnawatetea mafisadi kwa sababu ya michango tu wanayoipata tena kutokana na mafisadi. NSSF inafanya vizuri, na mpost mada amehemkwa tu na roho mbaya ya kikatoliki lkn hakuna lolote, Mzee DAU Piga mzigo, hata kwa mtutu NSSF hawakutoi kwani utumishi wako umetukuka hadi moyoni. wakiristo tumuige DAU, kwa sababu ktk kampuni zote TZ NSSF pekee ndo inafanya kazi ya kuendeleza uchumi, angalia chuo cha UDM, Daraja la Kigamboni, Miradi ya kuzalisha Umeme, mchuchuma, majengo mbalix2 Tz nzima. bado bila haya unamsema DAU vibaya ama kweli wewe umetumwa na kanisa.