SoNotorious
JF-Expert Member
- Sep 11, 2011
- 2,422
- 859
..............Dr. Dau ni mwelewa...
dau yupi? huyu wa nssf? huyu ni semi-illiterate mbaya, sijui hua ni dr wa nini?
..............Dr. Dau ni mwelewa...
Huo ulionao wewe ndio udini pumbavu wee, je inglikuwa wakristo ndio waliochaguliwa kwa wingi ungekuja na topic za ki.se nge kama hizi.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nimesikitishwa sana na jinsi ambavyo shirika la umma kama NSSF lilivyoingiliwa na udini uliotamalaki hasa katika masuala ya ajira na kupanda vyeo. Nakumbuka nikiwa katika pannel ya interview hali ilivyokuwa mbaya japo shirika linaendeshwa na msomi ila ameshindwa kujizuia katika kuonyesha udini ndani ya shirika. Interview hiyo ya kutafuta maofisa mafao na wahasibu wasaidizi hali ilikuwa tete sana, Ni vijana wengi waliomba na hakika si wote wangechukuliwa ila cha kushangaza pale kwenye interview kulikuwa na vituko usipime, walipokuwa wanajibu swali hata bila kuzingatia majibu yaliyotolewa alikuwa anakoment GOOD, na comment zingine za ajabu na kuwakatisha tamaa Watu wenye majina ya Kikristo hata kabla hawajieleza. Ni kweli kipimo chaweza kuwa elimu ila nilishuhudia vijana wengi wamejieleza vizuri na wakiwa na point nyingi kwa watu wengine tuliokuwa nao katika pannel lakini mwisho wa siku watoto wa kikriso waliopata nafasi walikuwa ni wale wa viongozi wa juu serikaliji pekee na zaidi ya 80% ya waliochukumiwa wakiwa waislam. Kuwa hukua waislam si mbaya bali wawe na uwezo sasa maana mngepata nafasi ya kufanya nao kazi sasa duuuu ni shughuli maana wengi kwa kweli ni vilalza usipime. Anyway tunakoelekea mtasikia tu habari kama shirika halijaenda ICU mtanikumbusha kwa huu uzi b
nimesikitishwa sana na jinsi ambavyo shirika la umma kama nssf lilivyoingiliwa na udini uliotamalaki hasa katika masuala ya ajira na kupanda vyeo. Nakumbuka nikiwa katika pannel ya interview hali ilivyokuwa mbaya japo shirika linaendeshwa na msomi ila ameshindwa kujizuia katika kuonyesha udini ndani ya shirika. Interview hiyo ya kutafuta maofisa mafao na wahasibu wasaidizi hali ilikuwa tete sana, ni vijana wengi waliomba na hakika si wote wangechukuliwa ila cha kushangaza pale kwenye interview kulikuwa na vituko usipime, walipokuwa wanajibu swali hata bila kuzingatia majibu yaliyotolewa alikuwa anakoment good, na comment zingine za ajabu na kuwakatisha tamaa watu wenye majina ya kikristo hata kabla hawajieleza. Ni kweli kipimo chaweza kuwa elimu ila nilishuhudia vijana wengi wamejieleza vizuri na wakiwa na point nyingi kwa watu wengine tuliokuwa nao katika pannel lakini mwisho wa siku watoto wa kikriso waliopata nafasi walikuwa ni wale wa viongozi wa juu serikaliji pekee na zaidi ya 80% ya waliochukumiwa wakiwa waislam. Kuwa hukua waislam si mbaya bali wawe na uwezo sasa maana mngepata nafasi ya kufanya nao kazi sasa duuuu ni shughuli maana wengi kwa kweli ni vilalza usipime. Anyway tunakoelekea mtasikia tu habari kama shirika halijaenda icu mtanikumbusha kwa huu uzi b
Kama Waislam wamejazana NSSF basi inabidi wapewe pongezi, kwani ni shirika pekee nchini linaloonyesha maendeleo kila mtanzania anaona, Nitafauti na Mashirika mengi yanayoongozwa na wagalatia, yanaongoza kwa ufisadi na hakuna maendeleo yoyote
Kama nssf kunawaislam basi nimfano wa kuigwa na kuelewa kuwa waislam wanavyeti sio feki na si mafisadi bali ni wachapa kazi, naamini tukiwaondoa wagalatia kwenye nafasi nyingi za kazi nchi yetu itapiga hatua
Is time to get ridoff all corrupt, greedy chrsitian