Binafsi nilifanya field nssf pindi nikiwa chuo..nimeliona hilo sio kitu cha ajabu kwao,management imechanganyika lakini asilimia kubwa ni udini umetawala kwa wafanyakazi wake yaani udini upo hili jambo lipo naongea sibahatishi wala kukurupuka nimeliona na kulithibitisha.