NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
nafikiri hujaelewa
Acheni uchochezi na wivu wa kike, crdb na mashirika mengine mengi tu wala haina haja ya kuyaweka kwasababu si busara kufanya hivyo yana wakristo hadi 90% hamuoni?, ila mkiona mtu kavaa hijab tu nyie mnaumia acheni hizo bana
 
Hizi ndio shule 10 bora matokeo-kidato cha nne 2013:
St.Francis Girls (Mbeya)
Marian Boys (Pwani)
Feza Girls (Dar-es-salaam)
Precious Blood (Arusha)
Canossa (Dar-es-salaam)
Marian Girls (Pwani)
Anwarite Girls (Kilimanjaro)
Abbey (Mtwara)
Rosmini (Tanga)
DonBosco Seminary (Iringa)
Hawa ndio wanafunzi 10 bora-matokeo kidato cha nne 2013:
Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani)
Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya)
Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam)
Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani)
Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani)
Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam)
Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera)
Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera)
Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani)
Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya)

Hizo fisrt div tumekutana nazo vyuoni ni pumba tupu
Necta sio kigezo cha umahiri wa shule wenyewe hawajitambui
Tango 1960's matokeo ndio hayo hayo lakini hatuoni impact yoyote nchi iko arijojo kiuchumi
Na tatizo ni elimu ndogo ya wataalaam wetu na ndio hao hapo juu
 
Inackitisha sana kwenye nchi iliyoko top ten kwa ufukara wananchi wake wanaleta uzi wa udini mungu niepushe na false conciousness:-X
 
hivi hamuoni haya kuzungumzia udini karne hii ?wakt sis adui wetu mkubwa ni ufisadi tutakimbilia kuchinjana yakitokea machafuko sisi ndio wakwanza kuuwana wkt mafisadi wanaendelea kupeta..
 
Hata mimi nimewahi.kuskia hiz habar mkuu na nimefuatilia na kufanya uchunguz nikakuta ni kweli kabisa. Kuna watu walimaliza chuo kikuu cha zanziba na wakaja kumwona dr. Dau dau akawambia wasubir wafanye usail na walipokuja kufanya walipata kaz wote. Kuna udin mkubwa sana nssf. Watu wa mafia wana.nafasi.nzur sana ya kupata kaz. Hata tenda ni ngum mkrsto kupata.
 
Usipende kusikiliza habari za vijiweni ....subiri nafasi zikitoka na kama una sifa peleka CV yako. ......watu mnakuwa hamjatimiza vigezo na mkitimiza mnakuwa mmefanya vibaya kwenye interview halafu mnakuja hapa na habari za kuokoteza kuwa kuna udini.
Mi nna rafiki yangu amesoma vizuri hapo Tanzania na ni muislam lakini alikosa kazi nssf, sasa na huyu nae alalamike kuwa kuna udini?
Darasani tuwazidi ibterview ndo mshinde tena woote.udini uko juu sana nssf.waruhusu tufanye auditing jibu litapatikana tu
 
Darasani tuwazidi ibterview ndo mshinde tena woote.udini uko juu sana nssf.waruhusu tufanye auditing jibu litapatikana tu

We endelea kuwaza udini wkt wenzako wanafanya yao, ukistuka na muda ushakwenda. .....wazee wetu zamani walibadilisha majina ili wapate nafasi za kusoma secondary za mission. ....nawe kama unaona NSSF kuna udini vaa kanzu uende ukaombe kazi.
 
Avae kanzu na vyeti je,lisemwalo lipo usibishe tu fuatilia kabla ya kujibu
 
Kuna mtu anaitwa ZABRON PAUL ameingia may 2015 kama operation trainee yeyote atafute list ya walioingia may pale NSSF! Tujiandae tu tukiitwa kwenye interview wandugu lawama sio nzuri coz hata ili swala la maandalizi ya interview utumishi kila kukicha wanalipigia kelele coz file ya malalamiko inajaa sana
 
Taasisi ya umma kuwa na kashfa kama hiyo si sahihi. Ni lazima tutofautishe. Taasisi ikibeba maudhui ya dini flani na ikaajiri watu wa dini hiyo kwa mujibu wa taratibu zao kama world vision si tatizo. Tatizo hapa ni NSSF inashutumiwa kuweka udini ni taasisi ya umma si ya wakristu wala waislam.

Ni kweli unachosema.Swala la NSSF liko wazi haliitaji hata kubishana. Ukifika pale saa saba asilimia kubwa ya wafanyakazi utasikia wameenda msikitini na limekuwa km jambo la kawaida. Sasa hapo utapinga vp km hakuna udini. Na hata ukienda offisini kwao asilimia kubwa ya wafanyakazi ni waislamu hilo sio la kubisha wala nn.

Kwa yoyote anayetaka ushahidi afike kwenye offisi zao atapata huo ushahidi.

Na nadhani mtoa mada ametolea mfano wa NSSF japo kuna sehemu nyingi ambapo bado kuna udini na ukabila

Kwa mfano, CRDB tunaona asilimia kubwa ya wafanyakazi ni wachaga.

Mada inapotolewa tusipende kuwa biased hata km ww ni muislamu kubali tu kuwa huo ndo ukweli. Na hili swala lina athari kwa taifa kwa ujumla. Kwahiyo weka dini pembeni afu changia mada km mtanzania sio km mkristo/ muislamu.

Swala la udini ni baya sana. Nisingependa kuona Tanzania tunaingia kwenye hilo janga.
 
Waislam NSSF au wachaga kuwa wengi CRDB siyo tatizo ishu je wanaqualify? Kama hawa stahili kuwepo hapo walipo ndio tatzo la kubebana linapokuja ila kinyume na hivyo ni chuki tu! Tumuombe mungu na sisi tutapata nafasi tu wakati utakapo fika kama tumepangiwa kuepo hapo CRDB ama NSSF
 
Suala hili limeongelewa muda mrefu sana humu jamvini huenda likawa na ukweli
 
Inackitisha sana kwenye nchi iliyoko top ten kwa ufukara wananchi wake wanaleta uzi wa udini mungu niepushe na false conciousness:-X
Kwahiyo udini ukitokea tukae kimya eee, eti kisa kuogopa karn au kwa vile kuna ufukara MTU akitenda maovu lazma aambiwe hata kama ni karn ya 30
 
Kinara wa udini nssf ni dr dau japo anatumia dini na kujifanya mtu wa sala tano kumbe ni fisadi na jizi la kutisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom