NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo mheshimiwa unataka twende TRA nasi tukatafute takwimu ya waajiriwa kwa mlengo wako udini mbaya aisee, shame on you
 
Acheni uchochezi na wivu wa kike, crdb na mashirika mengine mengi tu wala haina haja ya kuyaweka kwasababu si busara kufanya hivyo yana wakristo hadi 90% hamuoni?, ila mkiona mtu kavaa hijab tu nyie mnaumia acheni hizo bana

Kwahiyo ni kweli kuna udini NSSF? lisemwalo lipo kama halipo linakuja...nilishasikia haya pia na moja wa ndugu zangu mwenye vigezo alishapigwa chini akipewa school mate wake ambaye hakua na vigezo bora kama yeye
 
Kenge we, umetumia vigezo gani?! Ili uridhike ratio inapaswa iwe vipi?! Kama udini upo wa kulalamika wangekuwa Muslims kwani ndio wengi. Japo president ni Muslim bado serikali yake majority ni Christians. Kigezo si Dini.


Hapo kwenye red, nani kakudanganya? Redio imaan au?
 
Sasa hivi waislamu wanajulikana kwa mavazi yao. Ukitaka kujua nenda pale NSSF. Pita tu ufanye non-participant observation. Utapata jibu.
 
Jiandaeni kupiga kura 25/10/2015 andaa kadi yako kapige kura siku hiyo
 
We tafuta hela tu achana na mambo ya dini kama wamejazana ni juu yao . tafuta biashara ya kufanya sio lazima ajira
 
kama una cha kuandika ni vyema ukakaa kimya! haya mambo ya udini ndg zangu tusiyape nafasi.
 
Sasa Mbona inavyoonesha mtoa maada anashambuliwa?? Me nnavyojua hiki ni chombo cha kupashana habari. Sitegemei kuona ukabila, udini au upendeleo wa Aina yeyote. Sasa Kama kuna udini Hilo si sawa. Katika hali ya kawaida udini hautakiwi. Cause maisha Niliyokulia Mimi it's okay to interact na mtu yeyote regardless yupo dini gani. Cause Kama Leo ukianza sehemu A Kesho usishangae sehemu B kwamba mtu wa A akashindwa kusaidiwa au Kukosa huduma kitu ambacho ni ujinga. Kama ndugu zangu malafiki zangu tusiupe nafasi udini sio kwenye sector za serikali au binafsi tu. Hadi mashuleni,majumbani na pia mpaka kwenye Misaada ya kibinadMu
 
Mkuu hiyo orodha ni ya zamani sana maana huyo A Masimango kwa sasa ni marehemu,Ally Shuma amestahafu na pia hiyo Kigembe amestahafu.
 
Tanzania lazima tukubaliane ya kwamba lipo tatizo la kimfumo hasa katika matumizi ya madaraka,dhamana za kiuongozi.Pia bado kuna mianya ya kikatiba kisha kisheria ktk kudhibiti na kuzuia matumizi mabaya ya madaraka hasa kwa viongozi wa umma.Kwa sheria zenye wasimamiaji wasio na meno na wanaodhibitiwa na mamlaka teuzi Ni vigumu sana kudhibiti chembechembe za ukabila,udini,ukanda,kufahamiana,kulipana fadhila ,u-ccm,u chadema,u TLP.
 
Kwa kusema hayo twapaswa kutumia mantiki ya kawaida sana kugundua ukiukwaji wa taratibu na matumizi mabaya ya madaraka katika taasisi za umma.Mathalani,Mkurugenzi mkuu wa taasisi anapokuwa na uwezo wa kuingilia mchakato wa kuajiri [NSSF,GBT,Immigration,BOT,TBS,NIC],michakato ya zabuni [nani apewe nani asipewe-rejea issue ya MR Mhando na mkewe [Tanesco].Imefika mahari kigezo cha nilisoma nae,babake ni rafiki yangu sana,ama babu/baba ni shabiki mwenzangu au kiongozi wa Yanga/Simba,Mkristo/Muislamu mwezetu kutumika kama vigezo.Tatizo lingine ni wateuliwa kuachwa katika teuzi andamizi moja kwa muda mrefu hata kufikia kujiona wenye hati miliki za kuongoza taasisi husika,mfalme,mzazi mkuu,mbobezi kwa kiwango cha pengo kutozibika,...Baadhi yao hawaishi kuomba special contract extension kwa vigezo kwamba hakuna wenye uwezo kama wao /uzoefu kama wao...,special employment contract ....
 
Ndugu watanzania kuna habari imepostiwa Leo kumpongeza DR Dau kiutendaji. Kuna watu mpaka wameshauri ateuliwe kuwa mbunge apewe wizara nyeti. Huu n ulaghai kwa umma. NSSF ya DR DAU imeghubikwa na udini. Ukiwa mkristu ni vigumu sana kupata kazi sasa Hivi NSSF. nna marafiki zangu ambao wamefanya field hapo. Wanadai staff members karibia wrote n waislamu. Mikoni kote salsa Hivi staff members wa NSSF imejaa waislamu tu. Hii ni hatari kwa taifa letu. Ukizingia sector nyeti ka hiyo
Hii ni hoja yakichochezi. NSSF haina kashifa na kazi zake zinaonekana. Kama mafanikio haya yametokana na hawa waislamu basi wanastahili pongezi. Je mafisadi wengi ni wa dini gani?
 
Nadhani ndugu umepata majibu mazuri na mengi ni kutoka kwa wasio waislam kuwa muda wa kuangalia mambo hayo umepitwa na wakati NSSF hata ikiwa na waislam watupu na TRA ikawa na wakristo watupe na Balozi zetu zikawa na wahindi watupu lakini watanzania wakawa wanapata huduma zinazotakiwa inatosha kwa nchi yetu.Wewe ndugu unadukuduku ambalo nchi hii halina maana yeyote.Waislamu wa Tanzania wangesema nao walalamike kama wewe na zikaletwa data za wafanyakazi wangapi wa serikali si waislam na wangapi wa serikali ni waislam ungeenda kutubu kanisani.Tusilete choko za udini,tujengeni nchi yetu
 
Ebwana pole sana, kama unauwezo wa kuandika bila kujua athari ya unacho kiandika, wewe utakuwa una uwezo mdogo sana wa kufikiri, sasa ikiwa uwepo wa watu wa imani fulani wengi kwenye taasisi fulani ni udini basi udini utakuwa umeanza kwa upande wa pili, ebu fuatilia kabla hujaandika
 
Nadhani ndugu umepata majibu mazuri na mengi ni kutoka kwa wasio waislam kuwa muda wa kuangalia mambo hayo umepitwa na wakati NSSF hata ikiwa na waislam watupu na TRA ikawa na wakristo watupe na Balozi zetu zikawa na wahindi watupu lakini watanzania wakawa wanapata huduma zinazotakiwa inatosha kwa nchi yetu.Wewe ndugu unadukuduku ambalo nchi hii halina maana yeyote.Waislamu wa Tanzania wangesema nao walalamike kama wewe na zikaletwa data za wafanyakazi wangapi wa serikali si waislam na wangapi wa serikali ni waislam ungeenda kutubu kanisani.Tusilete choko za udini,tujengeni nchi yetu
 
Mbona waislam hua hawana mambo ya kufatilia sana maswala ya udini au hawa wameajiria wengi wakristo

Tukianza kuchunguza ajira za tasisi mbalimbali humu kulingana na dini zao utaona waislam ndio wanaongoza kwa kukosa ajira

Ukichunguza vyuo vikuu humu utaona waislam ndio wa hanga wa kukosa vyuo
Tumeona vyuo vikuu vingi vya serkali vikiongozwa na wakristo miaka yote waislam hawakulalamika

Juzi tu udom kuanza kukabizia kwa prof mkandala muislam
Basi maneno yamekua chuo cha Islam au hua amtaki waislam nao wapate nafasi za ajira kma ilivyokwa dini zingine?

Naona mtawaumiza waisla ikia watakosa mtu wakuasemaea
 
Hii kitu ni kweli imefikia hatua staff wa nssf anaenda na kofia balakashia monday to friday na wengine suluali fupi . Kwa miaka zaidi ya mitano nimeona mengi .ndio mana mifuko mingine mipya kama pspf inasonga kwa spidi lkn nssf ya miaka mingi inasuasua
 
Tukiacha umbea wa vijiweni na mihemko binafsi.

Hebu anika list ya wafanyakazi wa nssf kuanzia mkurugenzi mkuu hadi katika ngazi ya chini. usipoona ukweli una makengeza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom