Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,031
- 760
ndugu leo nilienda atm kuchukua salio, cha ajabu zikatoka noti za zamani mpyaaaa.... na namba zake kwa mpangilio.
yaani mimi ndo nimezianzishia mzunguko.... nilishangaa kupata noti hizo. mi mawazo yangu yalikuwa ni kupata noti
mpya ambazo ni current. Hivi hii serikali inampango kweli wa kubadilisha noti? kwa nini imechukua mda mrefu hivi?
na kwa nini tunatumia hela aina mbili mpaka tatu kwa wakati mmoja? pia kwa wanaojua naomba mnijuze ni kwa
nini tz tunabadilisha badilisha hela kiasi hiki? yapata kila baada ya miaka minne.... na kwa nini mfano wamarekani
wao hawabadilishi dollar zao?