Noti mpya vipi?

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,031
760
ndugu leo nilienda atm kuchukua salio, cha ajabu zikatoka noti za zamani mpyaaaa.... na namba zake kwa mpangilio.
yaani mimi ndo nimezianzishia mzunguko.... nilishangaa kupata noti hizo. mi mawazo yangu yalikuwa ni kupata noti
mpya ambazo ni current. Hivi hii serikali inampango kweli wa kubadilisha noti? kwa nini imechukua mda mrefu hivi?
na kwa nini tunatumia hela aina mbili mpaka tatu kwa wakati mmoja? pia kwa wanaojua naomba mnijuze ni kwa
nini tz tunabadilisha badilisha hela kiasi hiki? yapata kila baada ya miaka minne.... na kwa nini mfano wamarekani
wao hawabadilishi dollar zao?
 
unaulizia noti mpya zipi au ndo haya makaratasi ya rangirangi yalotolewa hivi karibuni na BOT?
 
Ingawa tuliambiwa hivyo, but ki ukweli noti mpya hazikulenga kubadili zilizoko,
Bali kusaidiana na zilizoko.
Ingetangwazwa kua noti zimeongezeka mzungukoni matokeo yangekua ni infalation ndo maana wakaingia na gia ya replacement.
Usipoelewa sana na hii tafuta mchumi akufafanulie!!!
 
Wameshagundua kosa walilolifanya ktk noti mpya. Ni makaratasi tu, wanashndwa kuziondoa za zamani.
 
Ingawa tuliambiwa hivyo, but ki ukweli noti mpya hazikulenga kubadili zilizoko,
Bali kusaidiana na zilizoko.
Ingetangwazwa kua noti zimeongezeka mzungukoni matokeo yangekua ni infalation ndo maana wakaingia na gia ya replacement.
Usipoelewa sana na hii tafuta mchumi akufafanulie!!!

kama habari ndo hiii....kweli nchi hii inaongozwa na watu wa maskani
 
Noti Mpya zilighushiwa hata kabla hazijaaza kusambazwa,walipogundua kwambo wamezungukana kwenye noti fake,ambazo kimsingi zilikuwa zinakaribiana sana na noti halisi kiasi cha kuwachanganya watumiaji,kwa kuongopa aibu BOT waliamua kusitisha usambazaji wa Noti Mpya ili kuangalia namna ya kudhibiti not fake.
swali la kujiuliza iweje noti fake mpya zitoke sambamba na noti mpya halisi muda ule ule,inamaanisha watoaji wa noti mpya walikuwa na tenda nyingine ya noti fake... au wale walioproofread noti ndiyo waliotengeneza hizo fake.
 
Back
Top Bottom