Noti mpya vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Noti mpya vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pota, Sep 3, 2011.

 1. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,811
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  ndugu leo nilienda atm kuchukua salio, cha ajabu zikatoka noti za zamani mpyaaaa.... na namba zake kwa mpangilio.
  yaani mimi ndo nimezianzishia mzunguko.... nilishangaa kupata noti hizo. mi mawazo yangu yalikuwa ni kupata noti
  mpya ambazo ni current. Hivi hii serikali inampango kweli wa kubadilisha noti? kwa nini imechukua mda mrefu hivi?
  na kwa nini tunatumia hela aina mbili mpaka tatu kwa wakati mmoja? pia kwa wanaojua naomba mnijuze ni kwa
  nini tz tunabadilisha badilisha hela kiasi hiki? yapata kila baada ya miaka minne.... na kwa nini mfano wamarekani
  wao hawabadilishi dollar zao?
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wakubwa wanasubiri feki zao zipotee kwanza mkuu............
   
 3. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  unaulizia noti mpya zipi au ndo haya makaratasi ya rangirangi yalotolewa hivi karibuni na BOT?
   
 4. M

  Maengo JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si unajua huwa kuna 10% ya yule anayefanikisha tenda...!
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Ingawa tuliambiwa hivyo, but ki ukweli noti mpya hazikulenga kubadili zilizoko,
  Bali kusaidiana na zilizoko.
  Ingetangwazwa kua noti zimeongezeka mzungukoni matokeo yangekua ni infalation ndo maana wakaingia na gia ya replacement.
  Usipoelewa sana na hii tafuta mchumi akufafanulie!!!
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Wameshagundua kosa walilolifanya ktk noti mpya. Ni makaratasi tu, wanashndwa kuziondoa za zamani.
   
 7. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,811
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  kama habari ndo hiii....kweli nchi hii inaongozwa na watu wa maskani
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,507
  Likes Received: 1,683
  Trophy Points: 280
  Alhaji Mkulo alikuwa anataka na yeye saini yake iwepo kwenye noti! Hovyo kabisa
   
 9. Nkwesa Makambo

  Nkwesa Makambo JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 4,765
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Noti Mpya zilighushiwa hata kabla hazijaaza kusambazwa,walipogundua kwambo wamezungukana kwenye noti fake,ambazo kimsingi zilikuwa zinakaribiana sana na noti halisi kiasi cha kuwachanganya watumiaji,kwa kuongopa aibu BOT waliamua kusitisha usambazaji wa Noti Mpya ili kuangalia namna ya kudhibiti not fake.
  swali la kujiuliza iweje noti fake mpya zitoke sambamba na noti mpya halisi muda ule ule,inamaanisha watoaji wa noti mpya walikuwa na tenda nyingine ya noti fake... au wale walioproofread noti ndiyo waliotengeneza hizo fake.
   
Loading...