tatzo liko hapo kwenye kuikamata tecno kwa mikono yako!Hivi kumbe Wi-Fi inafanya kazi kwenye simu isiyo na line? Nilikuwa sijui.
Sasa kwanini ujitese hivyo wakati unaweza kuwa na Tecno yenye hivyo vyote kwa wakati mmoja kuliko kuungaunga? 😆😆
sana. hasa hili la bands nikazanie f na fdNatumae mleta mada umepata muongozo...
Kivipi tena mkuu wakati hapa natumia simu ya jadi?tatzo liko hapo kwenye kuikamata tecno kwa mikono yako!
Tulia basi wenye akiLi wanaelezea mbona mnakuwa na fujo?itakuwa una note 8 famba sio bure
Tulia basi wenye akiLi wanaelezea mbona mnakuwa na fujo?

Ingia hapo kwenye software ina android ngapi?
Android 6.0.1 ..Ingia hapo kwenye software ina android ngapi?
Pengine ni refurb, unaweza flash mwenyewe manual, ila kama sio mzoefu ipotezee tu.Android 6.0.1 ..
Nikigusa kwenye software update hairespond kitu.
Mimi sio mzoefu.. acha nipotezee tu .Pengine ni refurb, unaweza flash mwenyewe manual, ila kama sio mzoefu ipotezee tu.
Widevine certificate hakuna, wachina washaigusa gusa itakuwa.Mimi sio mzoefu.. acha nipotezee tu .
Shida leo nimejaribu kudownload netflix inaniandikia 'your device is not compatible with this version' nikahisi shida itakua sijaupdate software
Kama upo Dar kesho njoo nayo kkooMimi sio mzoefu.. acha nipotezee tu .
Shida leo nimejaribu kudownload netflix inaniandikia 'your device is not compatible with this version' nikahisi shida itakua sijaupdate software
Asantre sana mkuu.Kama upo Dar kesho njoo nayo kkoo
mimi ni fundi simu upande wa software
kwa wale wanaotaka kununua simu za samsung international/global nashauri muangalie model kupitia download mode sio kupitia settings-about
Hii inahitaji utaalamu maana unaiweka simu download mode kama unataka kuiflash
Ukiangalia hizo FD/F kupitia settings bado mtapigwa tu, maana binafsi kuna wateja wangu wananunua china version wananiambia wanataka niwatolee application za kichina wanataka iwe kama samsung nyingine, huwa nawapigia converted rom inayoishia na FD/F
kwa hiyo hapo ukiangalia kupitia settings kama hizo screenshot zilizowekwa humu jukwaani zitawaonyesha ni FD/F kumbe kitu ni U/N
model halisi ya samsung zinapatikana kupitia download mode
Simu bomba Kwa kuvuta mtandao vizuri zilikuepo ni Huawei Kwa uelewa wanguSamsung sijui wanakwama wap. Mi huwa natumia hii brand tu. Lakin kwanini upande wa internet huwa hairespond haraka had kuzidiwa na tecno wakat ina ram kubwa? Browser natumia samsung. Kwa sasa nina note 8 lakin hata kuuliza salio inazubaa tu.
Internet nayo haitembei kwa wakat. Niko voda. Dar. Sijaweka apps nying na memory nimetumia 20% tu. Anayejua namna ikuwe fast anisaidie. Kila kitu inarespond kwa kujifikiria sana.
Niliwah tumia s7 edgeSamsung sijui wanakwama wap. Mi huwa natumia hii brand tu. Lakin kwanini upande wa internet huwa hairespond haraka had kuzidiwa na tecno wakat ina ram kubwa? Browser natumia samsung. Kwa sasa nina note 8 lakin hata kuuliza salio inazubaa tu.
Internet nayo haitembei kwa wakat. Niko voda. Dar. Sijaweka apps nying na memory nimetumia 20% tu. Anayejua namna ikuwe fast anisaidie. Kila kitu inarespond kwa kujifikiria sana.
Yangu nikiipiga ya model yake mtandao unakuwa chini hadi niipige iliyotokana nayo huko sijui shida itakua nini mkuu!!Kama upo Dar kesho njoo nayo kkoo
mimi ni fundi simu upande wa software
kwa wale wanaotaka kununua simu za samsung international/global nashauri muangalie model kupitia download mode sio kupitia settings-about
Hii inahitaji utaalamu maana unaiweka simu download mode kama unataka kuiflash
Ukiangalia hizo FD/F kupitia settings bado mtapigwa tu, maana binafsi kuna wateja wangu wananunua china version wananiambia wanataka niwatolee application za kichina wanataka iwe kama samsung nyingine, huwa nawapigia converted rom inayoishia na FD/F
kwa hiyo hapo ukiangalia kupitia settings kama hizo screenshot zilizowekwa humu jukwaani zitawaonyesha ni FD/F kumbe kitu ni U/N
model halisi ya samsung zinapatikana kupitia download mode
Simu ina model gani na software iliyokuja na simu ni model ipi?Yangu nikiipiga ya model yake mtandao unakuwa chini hadi niipige iliyotokana nayo huko sijui shida itakua nini mkuu!!
Model ya simu SM-G965N na iliokuja nayo ni SM-G965F (android 9)Simu ina model gani na software iliyokuja na simu ni model ipi?
Simu imekuja na converted romModel ya simu SM-G965N na iliokuja nayo ni SM-G965F (android 9)