Rwaz
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,966
- 3,315
Samsung sijui wanakwama wap. Mi huwa natumia hii brand tu. Lakin kwanini upande wa internet huwa hairespond haraka had kuzidiwa na tecno wakat ina ram kubwa? Browser natumia samsung. Kwa sasa nina note 8 lakin hata kuuliza salio inazubaa tu.
Internet nayo haitembei kwa wakat. Niko voda. Dar. Sijaweka apps nying na memory nimetumia 20% tu. Anayejua namna ikuwe fast anisaidie. Kila kitu inarespond kwa kujifikiria sana.
Internet nayo haitembei kwa wakat. Niko voda. Dar. Sijaweka apps nying na memory nimetumia 20% tu. Anayejua namna ikuwe fast anisaidie. Kila kitu inarespond kwa kujifikiria sana.