FrankMakeps
Member
- Apr 1, 2013
- 96
- 83
Boss mbna kmya nmekuonesha hapo juu haujajbHupati official
utapata custom rom
Boss mbna kmya nmekuonesha hapo juu haujajbHupati official
utapata custom rom
Unapata android 10
Haitaki kabisaUnapata android 10
FlashHaitaki kabisa
Ambayo ndo hiyo inazingua mtandao na vikorea kama vyoteHupati official
utapata custom rom
Hapana, hiyo ni officialAmbayo ndo hiyo inazingua mtandao na vikorea kama vyote
Download mode unaipataje kwenye simu mkuu?Kama upo Dar kesho njoo nayo kkoo
mimi ni fundi simu upande wa software
kwa wale wanaotaka kununua simu za samsung international/global nashauri muangalie model kupitia download mode sio kupitia settings-about
Hii inahitaji utaalamu maana unaiweka simu download mode kama unataka kuiflash
Ukiangalia hizo FD/F kupitia settings bado mtapigwa tu, maana binafsi kuna wateja wangu wananunua china version wananiambia wanataka niwatolee application za kichina wanataka iwe kama samsung nyingine, huwa nawapigia converted rom inayoishia na FD/F
kwa hiyo hapo ukiangalia kupitia settings kama hizo screenshot zilizowekwa humu jukwaani zitawaonyesha ni FD/F kumbe kitu ni U/N
model halisi ya samsung zinapatikana kupitia download mode
Zima simu kishaDownload mode unaipataje kwenye simu mkuu?
Sasa nikifanya hivo sauti inashuka onlyVol down + Bixy + Power kwa simu zenye button nne
Vol up + Down then connect usb kwa simu zenye button tatu
Vol down + home + power kwa simu zenye home button
utabonyeza volume up kuthibitisha kisha utaona model ya simu na info nyingine
Fanya hivyo simu ikiwa offSasa nikifanya hivo sauti inashuka only