Note 8 inazubaa internet

Imagine version fake za Marekani zinauzwa Tanzania na zimejaa tele kule Kariakoo!
Alaf kibaya zaidi unakuta muuzaji anamwambia mteja kuwa ni simu original kabisa. Nakumbuka 2019 hivi kuna jamaa pale kkoo kwenye duka zuri tu alitaka kunishikisha S9 feki. Yaani sio hata refurbished wala ni feki kabisa na jamaa anakomalia ni OG. Nikamwambia tu kistaarabu kuwa mm hyo simu siitaki akae nayo tu. Mm watu kama hao naona wakamatwe tu watiwe ndani maana wanazulumu watu wasiojua.

Hata iPhone hizi, wengi sana wana refurbished iPhones. Wewe iPhone 6 mpya kwenye box inatoka wapi sasahivi wakati Apple washaachana nazo mda tu. Refurbished sio shida, shida ni wauzaji hawasemi kuwa ni refurbished. Tena unakuta ni refurbished ya grade C kabisa. Kioo kilichowekwa ni low quality, camera iliyowekwa pia ni low quality yaani majanga tupu. Kma una iPhone sasahivi hapo we angalia tu kwenye settings -> Display, usipoona button ya True tone jua ni refurbished grade B or C hyo maana ndio huwa wanaweka displays za bei chee na hawahangiiki kuhamisha data za Display original.

Kuweni makini sana mkiwa mnanunua simu ambazo sio latest models maana ni refurbished kwenda mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kariakoo ndiyo makao makuu ya simu fake Tanzania!
 
Nayo uwezekano ni huo huo. Bands kadhaa zitakua hamna. Mkiwa mnanunua hzo simu hakikisheni ni global version au kma sio global kuna baadhi ya band zinatakiwa kuwepo.

Chief-Mkwawa anaweza nisaidia hapo. Ni band zipi ambazo ni muhimu kuwepo kwaajili ya bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
1800-tigo, zantel, Voda, ttcl na Airtel
800- tigo, zantel na smile
2300- ttcl na smart
2600- halotel
 
Bas anayehitaj note 8 ya USA aje nimuuzie hii.
 
Je hii yangu ina band za wapi?
Screenshot_20210212-112638_Settings.jpg
 
Je hii yangu ina band za wapi? View attachment 1700538
Hii note 9 or s9? Maana ina custom ROM.

Kwenye baseband inasema ni N960N ambayo ni Note 9 Korea
Kwenye SE Linux status inasema ni N960F ambayo ni ya Note 9 Global/International
Kwenye Service provider sw ver inasema ni G965F ambayo ni S9 ya Global/International
Build number inaonesha ni custom ROM ya Note 9 Global yenye Dual sim

Ipi ipi sasa? Hyo custom ROM uliweka mwenyewe?

Kma ni Note 9 au S9 ni kwanini uweke custom ROM ya Android 9 wakati hzo simu zipo officially supported mpka Android 10?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi issue za simu kuwa na Firmware za Region flani tofauti na Global zilinifanya nihmame Samsung. Baada ya kuhama nikawa Namiss vitu Flani amazing Samsung.

Nikaamua kununua Brand New Samsung.

Saivi Nateleza tu.
 
Samsung sijui wanakwama wap. Mi huwa natumia hii brand tu. Lakin kwanini upande wa internet huwa hairespond haraka had kuzidiwa na tecno wakat ina ram kubwa? Browser natumia samsung. Kwa sasa nina note 8 lakin hata kuuliza salio inazubaa tu.

Internet nayo haitembei kwa wakat. Niko voda. Dar. Sijaweka apps nying na memory nimetumia 20% tu. Anayejua namna ikuwe fast anisaidie. Kila kitu inarespond kwa kujifikiria sana.
Ukitaka kushangaa zaidi tumia simu yako na Lain ya Airtel.
Full maajabu
 
Alaf kibaya zaidi unakuta muuzaji anamwambia mteja kuwa ni simu original kabisa. Nakumbuka 2019 hivi kuna jamaa pale kkoo kwenye duka zuri tu alitaka kunishikisha S9 feki. Yaani sio hata refurbished wala ni feki kabisa na jamaa anakomalia ni OG. Nikamwambia tu kistaarabu kuwa mm hyo simu siitaki akae nayo tu. Mm watu kama hao naona wakamatwe tu watiwe ndani maana wanazulumu watu wasiojua.

Hata iPhone hizi, wengi sana wana refurbished iPhones. Wewe iPhone 6 mpya kwenye box inatoka wapi sasahivi wakati Apple washaachana nazo mda tu. Refurbished sio shida, shida ni wauzaji hawasemi kuwa ni refurbished. Tena unakuta ni refurbished ya grade C kabisa. Kioo kilichowekwa ni low quality, camera iliyowekwa pia ni low quality yaani majanga tupu. Kma una iPhone sasahivi hapo we angalia tu kwenye settings -> Display, usipoona button ya True tone jua ni refurbished grade B or C hyo maana ndio huwa wanaweka displays za bei chee na hawahangiiki kuhamisha data za Display original.

Kuweni makini sana mkiwa mnanunua simu ambazo sio latest models maana ni refurbished kwenda mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani umenifungua vitu vingi sana Mzee, binafsi natumia S8+ 955U, kinachokera hii simu ni kwenye software updates mpaka kwa pc sababu sio vision ya Global..Kuna baadhi ya update zingine zinataka WiFi tu.
 
Hizi issue za simu kuwa na Firmware za Region flani tofauti na Global zilinifanya nihmame Samsung. Baada ya kuhama nikawa Namiss vitu Flani amazing Samsung.

Nikaamua kununua Brand New Samsung.

Saivi Natel

Hongera sana mkuu. Mi ni mpenz wa samsung miaka yote hasa galaxy na note series ila nahis huwa napigwa kwenye hili tatzo. Alaf unapigwa simu ni mpya na kila kitu. Yan hata itel ya ram 1 inaizid speed ya kurespond. Hata kuuliza tu salio et inajitafakari! Lakin sitahama hii brand hata kama nokia wananishawishi kwa kuhamia android
 
Back
Top Bottom