Note 8 inazubaa internet

Note 8 inazubaa internet

Hongera sana mkuu. Mi ni mpenz wa samsung miaka yote hasa galaxy na note series ila nahis huwa napigwa kwenye hili tatzo. Alaf unapigwa simu ni mpya na kila kitu. Yan hata itel ya ram 1 inaizid speed ya kurespond. Hata kuuliza tu salio et inajitafakari! Lakin sitahama hii brand hata kama nokia wananishawishi kwa kuhamia android
Jibu ulopewa hapo juu ni sahihi sana mkuu.
 
japo kuna simu zimejizatiti sana kujitangaza, ila nikuekeze tu. ukiona brand yoyote ya maana imetoa simu, chukua ujaribu utafurahi.

juzikati hapa nilichukua 1plus 3t simu ina miaka 5 nyuma, ila usipime.
Ok.
 
Kwahiyo isiposoma laini utakuwa unanitumia kama calculator sio?
simu ina kazi nyingi, na hizo inazofanya nje na kusoma line ndio inaitofautisha simu na vidude vingine.

utapigia picha nzuri na kuzihifadhi, utahidhia nyaraka zako nyingine bila wasi wasi. na la zaidi bado una option ya kutumia kwenye wifi.
 
Hivi kumbe Wi-Fi inafanya kazi kwenye simu isiyo na line? Nilikuwa sijui.

Sasa kwanini ujitese hivyo wakati unaweza kuwa na Tecno yenye hivyo vyote kwa wakati mmoja kuliko kuungaunga? 😆😆
 
  • Thanks
Reactions: Mu7
Hivi kumbe Wi-Fi inafanya kazi kwenye simu isiyo na line? Nilikuwa sijui.

Sasa kwanini ujitese hivyo wakati unaweza kuwa na Tecno yenye hivyo vyote kwa wakati mmoja kuliko kuungaunga?
ndio wifi ni kwa kifaa kisicho na access ya mtandao au kisicho na data, kinachotoa ni hotspot unawasha.

note 8 imepoteza point moja mhimu, nguvu ya mtandao, sio kutosoma line kabisa, haiwezi kuwa sawa na tecno hata siku moja.
 
Kuna nini unapata kwenye Samsung ambacho mimi nakosa kwenye tecno?
 
  • Thanks
Reactions: Mu7
Hongera sana mkuu. Mi ni mpenz wa samsung miaka yote hasa galaxy na note series ila nahis huwa napigwa kwenye hili tatzo. Alaf unapigwa simu ni mpya na kila kitu. Yan hata itel ya ram 1 inaizid speed ya kurespond. Hata kuuliza tu salio et inajitafakari! Lakin sitahama hii brand hata kama nokia wananishawishi kwa kuhamia android
Nadhani inategemea na simu ina band zipi kama walivyosema wadau na iko katika ubora upi kama ni refurbished.

Mimi nina Samnsung note 4 na 5 zote za Korea,mtu alikuja nazo toka huko akaniletea. Linapokuja swala la speed ya internet kwenye hizi simu haswa kama inasoma LTE/4G naziheshimu. Kuna muda unadownload movie inagonga mpaka 3 Mb per second.

Kikubwa ni uelewa kama walivyosema wadau
 
Kuna nini unapata kwenye Samsung ambacho mimi nakosa kwenye tecno?
hupati QHD kwenye kioo chako,au nakusingizia???

kioo chako hakikupi afya ya macho maana hakijakidhi viwango vya kiufundi, kama natania ongeza mwanga mpaka mwisho gizani kama macho hayajakuuma.

kuna angle kwenye kioo chako hautachi kirahisi mpaka utumie nguvu, ila hujui sababu hujawahi hangaika kutaka kujua.

kingine simu yako ikijaa 50%inaanza kuwa nzito sababu haina nguvu, haijatengenezwa kulingana na kile kitu inatakiwa kufanya, hapa ni optimization.

simu yako inauzwa bei ndogo, lakini pia huwezi iuza hata nusu bei baada ya mwaka mmoja kupita,yaani leo hii phantom 9 yenye iliyotoka ikuzwa laki 6 miezi minne iliyopita leo hii hata mteja wa laki 3 kumpata shughuli.
 
Nadhani inategemea na simu ina band zipi kama walivyosema wadau na iko katika ubora upi kama ni refurbished.

Mimi nina Samnsung note 4 na 5 zote za Korea,mtu alikuja nazo toka huko akaniletea. Linapokuja swala la speed ya internet kwenye hizi simu haswa kama inasoma LTE/4G naziheshimu. Kuna muda unadownload movie inagonga mpaka 3 Mb per second.

Kikubwa ni uelewa kama walivyosema wadau
mimi nilikuwa na a5 2017,korean vasion ile simu ilikuwa kisanga aisee.

kwanza ina touch msisimko sio poa, ukigusa tu imoo.
 
mimi nilikuwa na a5 2017,korean vasion ile simu ilikuwa kisanga aisee.

kwanza ina touch msisimko sio poa, ukigusa tu imoo.
Cheki hiyo
IMG-20210215-WA0007.jpg
 
Hyo ni model ya USA aisee. SM-N950U na CSC code yake ni XAA. Haina major bands za huku bongo, na kuna sehemu ukienda network inakua inapotea kabisa.

Ulitakiwa uwe na International model (SM-N950FD) au Europe model (SM-N950F), hzi ndio zinashika band zote za bongo. Mkienda kununua Samsung refurbished muwe mna hakikisha kwenye model number mwsho ni FD au F ndio hazina shida ya network huku bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hii ya wapi maana sion FD AU F ipo mtandaon ni refurbished na mim hua nakurupka sana kununua izi bila kujua izi ishu kama hizi najuaje mkuu
 
Attachments

  • Screenshot_20210217-115209.jpg
    Screenshot_20210217-115209.jpg
    72.9 KB · Views: 12
Back
Top Bottom