Msaada kwa anayejua tatizo hili la Samsung galaxy note 8

Msaada kwa anayejua tatizo hili la Samsung galaxy note 8

Goodluck Boaz

Member
Joined
Feb 26, 2020
Posts
84
Reaction score
88
Simu yangu ninayotumia wiki kama mbili zilizopita mtoto aliiangusha ikawa imeckrack kidogo ila nashukuru haikuwa na effect yoyote, ila nashangaa leo asubuhi nmeamka naona brightness inashake shake yan inakuwa sawaa kidogo afu baada ya apo inatoa mwanga wa rangi ya brown, sasa nashndwa kuelewa japo kuna muda inakua freshi tu..

Alafu ikiwa fresh nkibonyeza kitufe cha power off ili kuondoa mwanga nkija kuwasha tena inakuwa na mwanga wa ajabu, hata kama nkabonyeza kutoa mwaka na kurudsha kwa muda huo huo bdo inaleta mwanga wa ajabu.. Natumia Samsung Galaxy Note8,, mwenye anajua anisaidie. Au ndo huwa zinakufa hivyo??
 
Samsung nyingi ukiangusha kioo/display lazima itasumbua.. inaweza kuanza kuvujia wino mdogo mdogo.
 
unazunguka sana .badilisha kioo
 
Samsung ikianguka kabla hujaokota piga ishara ya msalaba kwanza.bora 10000x iamke na crack kuliko kuamka ikiwa haina maana damage huwa ina chance kubwa kutokea ndani na ikawa kubwa zaidi.

Hapo unheshangaa siku moja inachora mstari ule wenye rangi 7 kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom