Note 8 inazubaa internet

Note 8 inazubaa internet

Band hizo huwezi badilisha hapo. Sababu zipo kwenye baseband firmware ambayo ipo linked na firmware nzima ya simu. Kwa samsung hzo haiwezekani kabisa kwasababu hata processor zinatofautiana kwahyo huwezi pachika tu firmware ya international kwenye model ya US. Hyo model yako ya US inatumia processor za Qualcomm na International model inatumia Exynos CPU.

Kma ndio umenunua hapa karibuni irudishe tu ulipoinunua. Solution ya haraka ni kutumia smart kitochi kama hotspot ili uweze ingia net vizuri na upate calls zako na message kwenye hcho smart kitochi

Sent using Jamii Forums mobile app
Smartkitoch gani nzuri?
 
Wakuu nataka niweke android 8.10 oreo kwenye my galaxy note 9 ila Binary device ya simu ni 3 , na zilizopo kwenye firmware ni 2

Navukaje hapa ?
@chiefmkwawa
 
Model no. Tafadhari
Hyoo
Screenshot_20210901-160919_Settings.jpg
 
Back
Top Bottom