Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,806
The problem ni kuwa Nk hawana busara...dudes are ready for war, with the recently tested ICBMs lets pray for US to calm down otherwise tutegemee vita ya 3 ya dunia.
Busara za Us ni muhimu sana kumaliza huu mgogoro.
Mkuu hapa hakuna cha kupray eti US a-calm down. Hapo alipo mwenyewe anaogopa. Hakuna kitu ambacho US hataki kitokee kama kumpiga mtu ambaye anaweza kuja kuharibu na kwake pia.
Jamaa now anauwezo wa kuhit kwake na kuua maelfu ya watu. Najua Trump ni chizi, ila sidhani kafikia level ya kuanzisha vita na huyu psychopath.