FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,337
- 13,656
Hahahahaha ni vichekesho vya karne mkuu.. Yaani mtu aweze kuunda nuke then ashindwe kuifunga kwenye ICBM wakati tayari uzoefu huo anao..Yaani unaamini kabisa N. Korea kashindwa kufunga nuke kwenye ICBM?
Yaani ni sawasawa na dereva wa Hiace udhani atashindwa kuendesha Costa..
Sent using Jamii Forums mobile app