NORTH KOREA: Pyongyang claims to have a Hydrogen Bomb

NORTH KOREA: Pyongyang claims to have a Hydrogen Bomb

Nasikiliza mpaka ile Press sijui ya Iran. Zote nnazo, kuanzia CNN,BBC,RT,Russian insider,Sputnik,zote nasikiliza.
Yaani unaamini kabisa N. Korea kashindwa kufunga nuke kwenye ICBM?
 
Kaka, dah, uwe na fact basi, maana ulivyoeleza ni kama Ulikuwepo wakati wanaangaika,

Iko hivi ndugu yangu, ICBM yenyewe wala sio Bomu, bali ni chombo kinachowezesha usafirishaji wa silaha unayotaka uitume kwa adui (war head), sifa yake kuu ni uwezo wa kusafiri masafa marefu kutoka bara moja kwenda lingine, na pia uwezo wa kuliongoza pa kwenda (target), so ICBMs linaweza kuwa na kichwa (war head) cha Atomic Bomb, Nuclear, Biological, Chemical, au hata hilo Hydrogen bomb
So hapo walichokuwa wanaangaika nacho ni kuwa bomu walilolitengeneza linafaa au wamechemsha?, so far so good, bomu limepita kwenye viwango vinavyokubalika na limekuwa detected Japan na South Korea,

hilo bomu kulifunga kwenye ICBMs wala sio tatizo, Wakorea Kaskazini wala hawawezi kuangaika jinsi ya kufunga hiyo war head ya Hydrogen Bomb kwenye ICBM just unafungua Nuclear war head na kufunga Hydrogen bomb
Kaka uko vizur sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 580498

North Korea wametangaza Kumiliki bomu la Hydrogen ambalo linatosha kubebwa na Intercontinental Ballistic missile (ICBM) na kuweza kwenda Bara jingine ndani ya dakika chache.

》Mgogoro unachukua sura mpya kila kukicha huku NK wakiendelea kujiimarisha ki silaha.
》Washington wamegusia 'Military Intervation' suala ambalo Kremlin na Beijing wanalipinga.
》Mataifa mengine ambayo ni Nuke Armed, so far so good. Hakuna matata.
》Kusudi la Kim kuonyesha silaha mpya kila uchwao (Provacatively) ni nini?
》Nini Hitimisho la dunia kila nchi iwe na uhuru wa Kumiliki
THE HYDROGEN BOMB?..

According to a Korean Central News Agency (KCNA) statement Pyongyang can now deploy a powerful hydrogen bomb small enough to be mounted atop one of its recently developed ICBMs, capable of striking the US mainland in minutes.
The KCNA Sunday announcement,asserted that DPRK leader Kim Jong Un observed the miniaturized nuclear weapon while visiting Pyongyang's Nuclear Weapons Institute.

"The institute recently succeeded in bringing about a signal turn in nuclear weaponization," stated KCNA.
"[DPRK leader Kim viewed] an H-bomb to be loaded into new ICBM," cited by BNOnews.com..

========

North Korea claimed Sunday that it had developed a hydrogen bomb to use with a long-range intercontinental ballistic missile (ICBM).

The Korean Central News Agency, North Korea's propaganda arm, said that that dictator Kim Jong-un inspected "an H-bomb to be loaded into [a] new ICBM" during a visit to the North's Nuclear Weapons Institute. Photos accompanied the statement showed the purported hydrogen bomb being developed in a lab.

The explosive power of the "homemade" bomb is "adjustable from tens kiloton to hundreds kiloton," KCNA said.

Aside from the factuality of the North's claim, the language in its statement seems a strong signal that Pyongyang will soon conduct another nuclear weapon test, which is crucial if North Korean scientists are to fulfill the national goal of an arsenal of viable nuclear ICBMs that can reach the U.S. mainland. There's speculation that such a test could come on or around the Sept. 9 anniversary of North Korea's national founding, something it did last year.

There was no immediate comment from the Pentagon or other U.S. officials. However, Director of National Intelligence Dan Coats told Congress in March that North Korea had developed the ability to put a nuclear warhead on a missile.

Experts have previously expressed skepticism about previous North Korean weapons claims. However, the announcement will raise already high worries in East Asia and in Washington that the North is closer to its goal of an arsenal of viable nuclear ICBMs that can reach the U.S. mainland.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee. Hivi unajua japan walipata taarifa baada ya dude kupita? Hiyo video ya wajapan walikuwa wanaongea kwamba dude limepita.

Yaan N. Korea angekuwa mnyonge hivyo USA wangekuwa wameshapiga. N. Korea siyo mnyonge unavyodhani. Huu ni muda wa kumwambia USA imetosha kuonea watu. Kila mtu apambane na hali yake.
Russia anatoa kitu kipya S500.
Mpaka sasa ni nchi tatu tu duniani zenye uwezo wa kutungua makombora ya ICBM.Nazo ni Israel,Marekani na Urusi.

Na ni system tatu tu duniani kote zina uwezo wa kutungua ICBM nazo zinapatikana Israel,Marekani na Urusi.
Israel wana Arrow 3
Marekani wana Ground Based Mid course Defence
Na Urusi wana A-135 ant-icbm zamani ilikua ikiitwa A-35.

Hivyo hata China hana uwezo wa kutungua makombora ya icbm
 
Nasikiliza mpaka ile Press sijui ya Iran. Zote nnazo, kuanzia CNN,BBC,RT,Russian insider,Sputnik,zote nasikiliza.
okay upo vizuri mkuu changa na zako sasa
usi waamini sana USA !!!
 
Ujue nuke haijawahi kutumika kushambulia popote!
Hydrogen bomb ni mchumba wa nuclear bomb.
Haha mkuu kuna tofauti gani kati ya Hydrogen bomb na Nuclear bomb..?
 
Haya ndio madude ya N. Korea yanamfanya Trump sasa anakonda
ICMB LONG RANGE MISSILE za N. Korea
North-Korea-s-new-ICBM-long-range-missile-605993.jpg
 
Kaka, dah, uwe na fact basi, maana ulivyoeleza ni kama Ulikuwepo wakati wanaangaika,

Iko hivi ndugu yangu, ICBM yenyewe wala sio Bomu, bali ni chombo kinachowezesha usafirishaji wa silaha unayotaka uitume kwa adui (war head), sifa yake kuu ni uwezo wa kusafiri masafa marefu kutoka bara moja kwenda lingine, na pia uwezo wa kuliongoza pa kwenda (target), so ICBMs linaweza kuwa na kichwa (war head) cha Atomic Bomb, Nuclear, Biological, Chemical, au hata hilo Hydrogen bomb
So hapo walichokuwa wanaangaika nacho ni kuwa bomu walilolitengeneza linafaa au wamechemsha?, so far so good, bomu limepita kwenye viwango vinavyokubalika na limekuwa detected Japan na South Korea,

hilo bomu kulifunga kwenye ICBMs wala sio tatizo, Wakorea Kaskazini wala hawawezi kuangaika jinsi ya kufunga hiyo war head ya Hydrogen Bomb kwenye ICBM just unafungua Nuclear war head na kufunga Hydrogen bomb
Yaan nyuz za NK na US naweza kuzisoma kuanzia asbh had asbh bila kuchoka...... thanks kw wachangiaji km ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini safari hii wakikinukisha hatobaki mkorea hata mmoja,kama Urusi alitishia kutumia nyuklia kwa waislamu ndo Marekani ashindwe kuitumia kwa Korea. Anaweza akampiga na hakuna wa kumzuia ila sema tu subira yavuta heri...
Mkuu hujasoma vizuri sentensi ya mwisho.
NK anajua Marekani anaweza kuwamaliza bali na yeye anajiandaa kuondoka nao. Na hiyo ndio hofu ya Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee mkuu mbona umelinisha maneno, embu niQuote wapi nilishawahi sema ICBM ni bomu, wapi?!

Pili NK bado hawajaweza kuweka bomu kwenye ICBM ndo wapo kwenye hizo process

Ps: ICBM ni moja ya njia ya usafirishaji wa nyuklia, maana inaweza pia kusafirishwa hata kwa ndege kwenda kushambulia kama ambavyo Marekani ilifanya WWII, ilitumia B-29 bomber kusafirisha mabomu toka Marekani kwenda kushambulia Japan.

fundi25 nadhan utakua umenipata

Kaka naona unajichanganya, elewa hivi
1: Kazi ya ICBMs sio kwa kisafirishia NUCLEAR War Head pekee, unaweza kufunga Kichwa chochote unachotaka (Nuclear, Atomic, Hydrogen, Biological na Chemichal)
2: Bomu la Hydrogen la Korea Kaskazini wala sio la leo, wameanza test (Ground test) ya hilo bomu tangu 2014
Na mwaka 2016 walipata mafanikio makubwa, angalia hapo chini
North Korea says it tested hydrogen bomb | NK News - North Korea News

Baada ya mafanikio makubwa walianza kurimodify hilo Bomb lao ili liwe kwenye vichwa (War Head) vya kuweza kufungwa kwenye ICBMs kama picha zilizowekwa na wadau mbalimbali zinavyoonekana, so Bomb lililotestiwa ni kutoka warhead ya kuweza kufungwa kwenye ICBM
 
Haha mkuu kuna tofauti gani kati ya Hydrogen bomb na Nuclear bomb..?
Atomic bomb inatumia nuclear fission ambapo atom zinagawanyika kwenda kwenye atoms ndogondogo kuleta mlipuko LAKINI Hydrogen bomb inatumia fussion ambapo hii sasa inaunganisha atoms mbili au zaidi kuunda atom moja kubwa hivyo kuleta mlipuko mkubwa.
 
uko sahihi,lakini zote ni Nuclear bomb..!!nilitaka nimsaidie uyo nilemquote
 
Kaka naona unajichanganya, elewa hivi
1: Kazi ya ICBMs sio kwa kisafirishia NUCLEAR War Head pekee, unaweza kufunga Kichwa chochote unachotaka (Nuclear, Atomic, Hydrogen, Biological na Chemichal)
2: Bomu la Hydrogen la Korea Kaskazini wala sio la leo, wameanza test (Ground test) ya hilo bomu tangu 2014
Na mwaka 2016 walipata mafanikio makubwa, angalia hapo chini
North Korea says it tested hydrogen bomb | NK News - North Korea News

Baada ya mafanikio makubwa walianza kurimodify hilo Bomb lao ili liwe kwenye vichwa (War Head) vya kuweza kufungwa kwenye ICBMs kama picha zilizowekwa na wadau mbalimbali zinavyoonekana, so Bomb lililotestiwa ni kutoka warhead ya kuweza kufungwa kwenye ICBM
Tunazungumzia nyuklia ndo maana nikaelezea kwamba inaweza kubeba nyuklia lakini pia inaweza kubeba chemical au biological weapons

Kama nilivyokueleza hapo awali, bomu ni kwa ajili ya kuwekwa kwenye kichwa cha kombora lakini jamaa bado hawajaweza kufanya hilo.Ndo maaana bado wanajaribu makombora kuangalia ufanisi wake ili baadae waweze kuweka hayo mabomu kwa ajili ya mashambulizi.
Japo mpaka hapa walipofikia ni pakubwa sana palipobaki ni padogo sana.

Nadhani umejichanganya mkuu, hawajaanza 2014,wameanza tangu 2006 kutest mabomu yao ya nuke.
 
Vi
Nadhani sasa ni muda umefika wa Marekani kurudisha silaha zao za nyulkia pale SK.Na wawaruhusu SK kuzitumia pale wanapoona wanatishiwa hii itamtia akili huyu dogo.Tena warudishe yale mabomu yao ya Hydrogen ya 1.2 Megatons.
vipi China na Russia wakipeleka silaha zao NK.?unafikiri ilo ni suluhisho...?
 
Back
Top Bottom