NORTH KOREA: Pyongyang claims to have a Hydrogen Bomb

Endeleeni tu, eti mnaitafuta vita kwa nguvu zote.

"He is begging for war," U.S. Ambassador to the U.N. Nikki Haley (on Kim) at the U.N. Security Council.
marekani ameshakuwa simba kapakatwa
ngoja kuna mtu anapenda ma series nimuulize haya maneno wanachukuwa kwenye movie gan!!!
 
sasa hivi USA wameishiwa maneno wana kopa maneno kwenye movie!!
marekani hana huruma kabisa kwa Kim kina chamaji kimekuwa kirefu!!!

Kumbe mnataka Kim ahurumiwe!

Huruma wanayoweza kumpa ni kumkaribisha kwenye Nuclear Club yao..
 
Kumbe mnataka Kim ahurumiwe!

Huruma wanayoweza kumpa ni kumkaribisha kwenye Nuclear Club yao..
sikuwa na maana hiyoo!!
marekani huwa hana huruma hapo kwa kimya amenywea baada ya kungundua kim siyo mula omari!
 
Je kuishabikia US?

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20170905-103847.png
 
Trump anatema cheche UN General Assembly.

Anawachana Maduro, Kim..
"N. Korea "Rocket man" on a suicide mission"..

Anawachana mpaka UN wenyewe, Trump mwisho!..
 
Huyu mzee sijuwi kalogwa maneno haya muushi
kila siku maneno ya uwongo uwongo amesha jitambua kuwa U.S. ishazeeka ila hataki kuamini ila ndivyo inavyo kuwaga kwa tajiri akifilisika lazima adate na makinikia ndio hivyo tena yasha anza kuwangiwa!!
 
Haha, hili bomu limeamsha madude..
 
NK inapiga mkwara,,, mikwara kama hiyo ina maana kubwa moja.

"kuogopa vita".
tuendelee kusubiri
 
Back
Top Bottom