[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nina kumbuka dogo kim akagoma akasema huyu mzeee chizi nini!!
akatupia kitu
Trump akaona duh dogo kapinda akaja na kilainisho!!!
All options are on the table apa alikuwa ana mwambia kim umesha kuwa mtu mzima bana njoo tuzungumze mezani!!!
kim akamwambie we mzee au umelogwa nini!!!
kim akatupia kitu
Trump akasema Military solutions are now fully in place
kim siyo bure we mzee utakuwa chizi !!!
kim ndio kama hivi akawatetemesha jana una jua trump kanyoosha mikono hewani kwa kusemaje!!!?
Sent using
Jamii Forums mobile app