[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii kitu aliyotest leo kaka kim ni balaaaa,,naona SK,JAPAN NA BABU YAO wanahaha tu
Najiuliza tuu, sijui bado wana waza vikwazo...?
Hahahahaha Trump yupo twitter
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hi kitu ni hatari mkuu muda huu Trump anaweza kuwa yupo chooni ana jisaidia kwa kuumwa na tumbo hii kitu ni More explosive: Compared with the atomic bomb (the kind dropped on Japan in the closing days of the Second World War), thehydrogen bomb can be far more powerful – by 1,000 times or more, experts say. Atomic bombs rely on fission, or atom-splitting, just as nuclear power .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]malizia mkuu
kisha una mchapa fimbo punda mzigo unasogezwa unakotaka !!
bila shaka amekuelewa !!
Asee mkuu mbona umelinisha maneno, embu niQuote wapi nilishawahi sema ICBM ni bomu, wapi?!
Pili NK bado hawajaweza kuweka bomu kwenye ICBM ndo wapo kwenye hizo process![]()
Ukishaweka bomu kwenye kombora lazima uhakikishe linahimili joto kwenye re-entry process. Ndo jamaa wanahangaika na hilo hivi sasa.
![]()
Ps: ICBM ni moja ya njia ya usafirishaji wa nyuklia, maana inaweza pia kusafirishwa hata kwa ndege kwenda kushambulia kama ambavyo Marekani ilifanya WWII, ilitumia B-29 bomber kusafirisha mabomu toka Marekani kwenda kushambulia Japan.
fundi25 nadhan utakua umenipata
South Korea is very poor country?We jamaa acha uongo aisee,hujui hata SAMSUNG,Co. Ya HYUNDAI etc huko ndio kwao afu unadai ni very poor country na inaitegemea USA.North Korea wako vizuri sema wazungu koko wanawa demonoze sana.
Wakati south Korea ni is a very poor country without a support from USA.
Siku USA akiondoa mkono wake wa misaada.pale South Korea, basi wananchi wao watakuwa kama miti wakati wa kiangazi.
Huu uzi unachekesha sana ujue..?South Korea is very poor country?We jamaa acha uongo aisee,hujui hata SAMSUNG,Co. Ya HYUNDAI etc huko ndio kwao afu unadai ni very poor country na inaitegemea USA.
Siipendi US lkn uongo wako ni wa level za KIMAKINIKIA aisee.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
![]()
Nguvu ya tetemeko la ardhi lilikuwa limepimwa likiwa ni 6.3
Na uzito wa bomu hilo ni kiloton 100
Ni zaidi ya uzito wa bomu la nyuklia ambalo lilitupwa na Marekani mjini Nagasaki mwezi August mwaka 1945 na kumaliza vita vya pili vya dunia.
Hii ni ishara kwamba Korea Kaskazini hajaogopa vitishoi vya Marekani na washirika wake Japan na Korea Kusini ambao walikuwa wakifanya mazoezi ya kutisha katika ukanda wa Korea.
Njia ya kumaliza huu mgogoro ambao kwa kiasi kikubwa unachangiwa na kauli za raisi Donald Trump kama ile ya Korea Kaskazini kukumbana na hasira na moto wa Marekani kuishambulia Korea Kaskazini, ni mazungumzo na majadiliano.
Kim hatanii na sasa yupo tayari kukabiliana na nchi yoyote ile.
Aaahhaaahhaaa nimecheka sana aiseeehKwahiyo umemuona Trump hana akili hadi ajichinganye,Kim amesha kuwa wamoto,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani sasa ni muda umefika wa Marekani kurudisha silaha zao za nyulkia pale SK.Na wawaruhusu SK kuzitumia pale wanapoona wanatishiwa hii itamtia akili huyu dogo.Tena warudishe yale mabomu yao ya Hydrogen ya 1.2 Megatons.
Daah asee ni kweli mkuu.Gahawa nyingi sana aisee.Huu uzi unachekesha sana ujue..?
Yaani wako watu wanaongea story za mtaani hapa zisizokuwa na ukweli wowote..[emoji3][emoji3][emoji3]
Actually me naenjoy! Wish to see more comments..