Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 954
- 1,577
hizi nyuzi zinazohusu NK na USD zimekua kivutio sana. Kila koment inapitiwa!!
Sasa wanamtishia nani? Labda Tanzania ndio wataona maajabu. Huko kwingine wanatafuta motoDaaaa! Hydrogen Bomb ni kitu zaidi nukes za kawaida. ni Thermonuclear!
hi kitu ni hatari mkuu muda huu Trump anaweza kuwa yupo chooni ana jisaidia kwa kuumwa na tumbo hii kitu ni More explosive: Compared with the atomic bomb (the kind dropped on Japan in the closing days of the Second World War), thehydrogen bomb can be far more powerful – by 1,000 times or more, experts say. Atomic bombs rely on fission, or atom-splitting, just as nuclear power .Ujue nuke haijawahi kutumika kushambulia popote!
Hydrogen bomb ni mchumba wa nuclear bomb.
mkuu hapo kwenye red ni kwamba hakujawahi kuwepo vita ya kwanza na ya pili ya dunia,zilikuwa ni vita za ulayaThe problem ni kuwa Nk hawana busara...dudes are ready for war, with the recently tested ICBMs lets pray for US to calm down other tutegemee vita ya 3 ya dunia.
Busara za Us ni muhimu sana kumaliza huu mgogoro.
Mtazamo wako tuu mkuu..mkuu hapo kwenye red ni kwamba hakujawahi kuwepo vita ya kwanza na ya pili ya dunia,zilikuwa ni vita za ulaya
kwaiyo tuanze kuimba dada uyoooooo anaolewa dada uyoooooo anaolewa x3 leo kim kapeleka posaTrump ni mchumba kwa Kim.