Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
karibu
kwaiyo umeelewa siku changanya cement na unga wa ngano siyo!!!
kwaiyo ule mzigo wa kim uliyokatiza kwenye mawingu ya japan unaitwaje!!!
Kitu kilipokatisha na kuzama baharini ndipo waziri mkuu wa Japan aliamua kulala juu ya Simu akilialia mbele za USA , Trump alipoona kilio cha Japan kimezidi ikabidi aende kwenye Twitter zake kupiga kelele huku N Korea akiongea kwa vitendo.
Japan, na South Korea, soon watashuhudia ICBM ikiripoti sebuleni kwao. Ndipo heshima ya NK itakaporudi mbele za watu wote.
Nk. She is Walking a talk under Commander Kim Jong-Un, Bravooooo!!