NORTH KOREA: Pyongyang claims to have a Hydrogen Bomb

Kwani hiroshima na nagasaki,bomu gani lilitumika?

In white-colr crime, there are ink stains instead of bloodstains.
"Little boy"
Ni atomic and not nuclear.

Simba akinyeshewa mvua hageuki kuwa kondoo! Ni simba tu!

Kuishabikia N.K ni wendawazimu wa kujitakia.
 
hayo ma S400 hayahusiani kabisa na issue ya kim na trump.
Dogo kapitisha dude juu ya japan USA hajaona kitu. Wakati USA ndiye mlinzi wa japan.

USA tambo za kuwaonea wanyonye na propaganda za kwenye movie za expendable.
Hivi unajua kwamba kabla NK hawajafanya jaribio US,SK na Japan wanakua washajua kama jamaa anataka kufanya jaribio, unajua hilo?!. Jamaa wanaifatilia NK 24/7,hata lile kombora la juzi liliroruka Japan SK walitoa taarifa kwamba NK wanajiandaa kufanya test. Pia hili jaribio leo kwa taarifa yako walidhani litafanyika mwezi April maana waliona shughuli zimeomgezeka kwenye maeneo ya majaribio NK wakajifanya kuzuga eti wanajenga viwanja vya volleyball kwenye maeneo ya nuclear sites, uliona wapi?!
716548410d89e1d4dcecfab703a5405e.jpg

Pia hata hili jaribio la juzi Marekani ilishatoa tahadhali tangu mwezi uliopita kwamba NK anajiandaa kufanya jaribio lingine la nuclear.
 
Kaka, dah, uwe na fact basi, maana ulivyoeleza ni kama Ulikuwepo wakati wanaangaika,

Iko hivi ndugu yangu, ICBM yenyewe wala sio Bomu, bali ni chombo kinachowezesha usafirishaji wa silaha unayotaka uitume kwa adui (war head), sifa yake kuu ni uwezo wa kusafiri masafa marefu kutoka bara moja kwenda lingine, na pia uwezo wa kuliongoza pa kwenda (target), so ICBMs linaweza kiwa na kichwa (war head) cha Atomic Bomb, Nuclear, Biological, Chemical, au hata hilo Hydrogen bomb
So hapo walichokiwa wanaangaika nacho ni kuwa bomu linafaa au wamechemsha?, so far so good, bomu limepita kwenye viwango vinavyokubalika na limekuwa detected Japan na South Korea,

hilo bomu kulifunga kwenye ICBMs wala sio tatizo, Wakorea Kaskazini wala hawawezi kuangaika jinsi ya kufunga hiyo war head ya Hydrogen Bomb kwenye ICBM just unafungua Nuclear war head na kufunga Hydrogen bomb
malizia mkuu
kisha una mchapa fimbo punda mzigo unasogezwa unakotaka !!
bila shaka amekuelewa !!
 
Nimeipenda hiyo ya kumchapa Punda, ni kweli kaka, unajua zamani Wamarekani walipoipiga Japan walitumia ndege kufika Japani na kisha wakadondosha hayo mabomu, kwa sasa unaweza kuwa Pyongyang unaseti coordinates za Washington kwenye Balistic kisha unabonyeza Go. Na mzigo wa Tone 500 unanyanyuka kuelekea ulikotumwa huku mnaliangalia kwenye screen
 
Kaka, dah, uwe na fact basi, maana ulivyoeleza ni kama Ulikuwepo wakati wanaangaika,

Iko hivi ndugu yangu, ICBM yenyewe wala sio Bomu, bali ni chombo kinachowezesha usafirishaji wa silaha unayotaka uitume kwa adui (war head), sifa yake kuu ni uwezo wa kusafiri masafa marefu kutoka bara moja kwenda lingine, na pia uwezo wa kuliongoza pa kwenda (target), so ICBMs linaweza kuwa na kichwa (war head) cha Atomic Bomb, Nuclear, Biological, Chemical, au hata hilo Hydrogen bomb
So hapo walichokuwa wanaangaika nacho ni kuwa bomu walilolitengeneza linafaa au wamechemsha?, so far so good, bomu limepita kwenye viwango vinavyokubalika na limekuwa detected Japan na South Korea,

hilo bomu kulifunga kwenye ICBMs wala sio tatizo, Wakorea Kaskazini wala hawawezi kuangaika jinsi ya kufunga hiyo war head ya Hydrogen Bomb kwenye ICBM just unafungua Nuclear war head na kufunga Hydrogen bomb
Asee mkuu mbona umelinisha maneno, embu niQuote wapi nilishawahi sema ICBM ni bomu, wapi?!

Pili NK bado hawajaweza kuweka bomu kwenye ICBM ndo wapo kwenye hizo process
d5bff1f16328765dee4a0b9d11dace87.jpg

Ukishaweka bomu kwenye kombora lazima uhakikishe linahimili joto kwenye re-entry process. Ndo jamaa wanahangaika na hilo hivi sasa.
089141fb958fa213fa1077e47074a97b.jpg

Ps: ICBM ni moja ya njia ya usafirishaji wa nyuklia, maana inaweza pia kusafirishwa hata kwa ndege kwenda kushambulia kama ambavyo Marekani ilifanya WWII, ilitumia B-29 bomber kusafirisha mabomu toka Marekani kwenda kushambulia Japan.

fundi25 nadhan utakua umenipata
 
Hivi unajua kwamba kabla NK hawajafanya jaribio US,SK na Japan wanakua washajua kama jamaa anataka kufanya jaribio, unajua hilo?!. Jamaa wanaifatilia NK 24/7,hata lile kombora la juzi liliroruka Japan SK walitoa taarifa kwamba NK wanajiandaa kufanya test. Pia hili jaribio leo kwa taarifa yako walidhani litafanyika mwezi April maana waliona shughuli zimeomgezeka kwenye maeneo ya majaribio NK wakajifanya kuzuga eti wanajenga viwanja vya volleyball kwenye maeneo ya nuclear sites, uliona wapi?!
716548410d89e1d4dcecfab703a5405e.jpg

Pia hata hili jaribio la juzi Marekani ilishatoa tahadhali tangu mwezi uliopita kwamba NK anajiandaa kufanya jaribio lingine la nuclear.
Aisee. Hivi unajua japan walipata taarifa baada ya dude kupita? Hiyo video ya wajapan walikuwa wanaongea kwamba dude limepita.

Yaan N. Korea angekuwa mnyonge hivyo USA wangekuwa wameshapiga. N. Korea siyo mnyonge unavyodhani. Huu ni muda wa kumwambia USA imetosha kuonea watu. Kila mtu apambane na hali yake.
Russia anatoa kitu kipya S500.
 
Nimeipenda hiyo ya kumchapa Punda, ni kweli kaka, unajua zamani Wamarekani walipoipiga Japan walitumia ndege kufika Japani na kisha wakadondosha hayo mabomu, kwa sasa unaweza kuwa Pyongyang unaseti coordinates za Washington kwenye Balistic kisha unabonyeza Go. Na mzigo wa Tone 500 unanyanyuka kuelekea ulikotumwa huku mnaliangalia kwenye screen
mkuu pia kwa speed inayo ongezeka pia mzigo unakuwa kwenye chombo salama zaidi ya ndege kufika Washington D.C.
 
Hivi unajua kwamba kabla NK hawajafanya jaribio US,SK na Japan wanakua washajua kama jamaa anataka kufanya jaribio, unajua hilo?!. Jamaa wanaifatilia NK 24/7,hata lile kombora la juzi liliroruka Japan SK walitoa taarifa kwamba NK wanajiandaa kufanya test. Pia hili jaribio leo kwa taarifa yako walidhani litafanyika mwezi April maana waliona shughuli zimeomgezeka kwenye maeneo ya majaribio NK wakajifanya kuzuga eti wanajenga viwanja vya volleyball kwenye maeneo ya nuclear sites, uliona wapi?!
716548410d89e1d4dcecfab703a5405e.jpg

Pia hata hili jaribio la juzi Marekani ilishatoa tahadhali tangu mwezi uliopita kwamba NK anajiandaa kufanya jaribio lingine la nuclear.

Ni kweli walijua na hata habari za Korea Kskazini, Za Japan na Hata za USA Wakaorea Kaskazini wanazifahamu, issue iko hivi ndugu yangu, nchi zote Duniani zinakuwa na wapelelezi kwenye nchi zingine hasa zile zenye uhasama au ujirani na urafiki wa mashaka, Kuna Wacongo, Rwanda, Burundi, SA, UK, USA wapo hata TZ wanatuchunguza tunafanya nini na tuna nini na sisi pia tuna watu wetu wapo uko wanachunguza,

So Korea Kusini, Japani nk wana watu wao ndani ya NK, NA labda wengine wapo mpaka Kwenye jeshi la Korea Kaskazini wanachunguza, so kujua wala sio ajabu
 
Hivi unajua kwamba kabla NK hawajafanya jaribio US,SK na Japan wanakua washajua kama jamaa anataka kufanya jaribio, unajua hilo?!. Jamaa wanaifatilia NK 24/7,hata lile kombora la juzi liliroruka Japan SK walitoa taarifa kwamba NK wanajiandaa kufanya test. Pia hili jaribio leo kwa taarifa yako walidhani litafanyika mwezi April maana waliona shughuli zimeomgezeka kwenye maeneo ya majaribio NK wakajifanya kuzuga eti wanajenga viwanja vya volleyball kwenye maeneo ya nuclear sites, uliona wapi?!
716548410d89e1d4dcecfab703a5405e.jpg

Pia hata hili jaribio la juzi Marekani ilishatoa tahadhali tangu mwezi uliopita kwamba NK anajiandaa kufanya jaribio lingine la nuclear.

Tatizo lako unawasikiliza CNN sana.
hebu jaribu kusoma vitu bila kusikiliza propaganda za BBC na CNN.
 
North korea hawataki kurejea hali iliyowapata miaka ya 50,

ile vita wamarekani walitupa mabomu kuliko hata katika vita vya pili vya dunia,
mabomu tani 650,000?

Mji wa pyoyang uliharibiwa wote majengo ya maana yaliyobaki ni mawili tu yakiwa yamesimama.

Ilifikia hatua ndege za marekani zilikosa kitu cha kushambulia kwani walikuwa wameharibu kila kitu.

Wakorea milioni 3 walikufa,na hiyo ni karibu nusu ya wananchi wa korea,

baada ya hapo wakorea waliapa ,Never again are we going to be so weak,and if we are to die,we will take them with us.....
On point mkuu, North Korea was turned to ash! Wamefika hapo walipofika kwa jasho na damu na kama ulivyosema walishatamka NEVER AGAIN. Chini ya Uongozi thabiti wa Kim IL Sung wakorea walihanikiza falsafa ya JUCHE al-maarufu kama JUCHE Idea yaani binadamu anaouwezo wa ku dictate destiny yake. Falsafa hiyo iko kwenye damu ya wakorea wengi na pengine ni wote na hivyo wako tayari kuifia nchi yao no matter what.
USA ajiandae kisawasawa....
imeandikwa
 
Nilitamani bomb la hydrogen litue kwenye lile wig kwa tuliosoma chemistry kitakachotokea ni SUBLIMATION yaan direct change from solid to gas
 
Aisee. Hivi unajua japan walipata taarifa baada ya dude kupita? Hiyo video ya wajapan walikuwa wanaongea kwamba dude limepita.

Yaan N. Korea angekuwa mnyonge hivyo USA wangekuwa wameshapiga. N. Korea siyo mnyonge unavyodhani. Huu ni muda wa kumwambia USA imetosha kuonea watu. Kila mtu apambane na hali yake.
Russia anatoa kitu kipya S500.
wamarekani huwa ni wazee wa kuuza maneno zaidi ya vitendo kim amelitambua hivyo ndio maana alisema hawezi jadiliana na watu waliyo changanyikiwa akaongeza dawa yao ni kuwapiga tu !!
walipo fanya mazoezi South Korea na USA akawambia mmemwaga mafuta kwenye moto !!!
tiari amesha fanya yake!!!
 
Tatizo lako unawasikiliza CNN sana.
hebu jaribu kusoma vitu bila kusikiliza propaganda za BBC na CNN.
Nasikiliza mpaka ile Press sijui ya Iran. Zote nnazo, kuanzia CNN,BBC,RT,Russian insider,Sputnik,zote nasikiliza.
 
Back
Top Bottom