Nongo mwilini: Uhalisia wa mazoea uliopotoshwa

Nongo nongoni...
Kwenye maji umenena..kuna hotel/Motel moja nilifikia huku Tanga.
Aisee maji ya kuoga yalikuwa yananuka na hayo ndip bora kwa hapo..
 
Badala ya kutakata unaongeza uchafu mwilini.. Ndo maana ukienda Tanga 'ukabahatika kupata mwenyeji' hakubali uendelee kukaa hotelini/ gesti
Maana anajua hutakula ushibe wala hutaoga utakate😀
 
Upo sahihi kabisa Mkuu..ni hatari aisee
 
Back
Top Bottom