win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,583
- 36,122
kuoga au kutoa Nongo?,, ujue hivyo nivitu viwili tofauti 😆
kuoga au kutoa Nongo?,, ujue hivyo nivitu viwili tofauti 😆
Chagua kimoja we nyau usinichoshe😁kuoga au kutoa Nongo?,, ujue hivyo nivitu viwili tofauti 😆
Chapati moja nashiba😋Chapati moja hushibi tatu humalizi...🤔🤓 achague kimoja Na sio viwili au vitatu😁
😁 goli gani tena
Mpaka wanafutia nyuchi zao wengineTazama mataulo ya hotel za gharama ya juu kidogo ambapo kuna maji safi na mataulo ya gesti za uswazi ambayo asubuhi hutumika mpaka kusafisha fangasi miguuni na kugeuzwa kikanyagio kabla ya kuvaa viatu 😁
Noted ✅️Kabumbu uwanjani
😁😁Mpaka wanafutia nyuchi zao wengine
Dad 🙌🙌🔥Daughter 🙌🏿🙌🏿🙌🏿😂