Nondo na Cement za Dili zinahitajika haraka.

Mimi ninazo Busara za DILI ni PM nikupe ili ufaidike na kujenga nchi hii.Hivi hapa ni Jukwaa la Michezo au!!! Oh sorry nimechangia hoja tofautii ahh Leprofeseriii Churaaaa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
NAIRIPOTI NAMBA YAKO POLISI.
Unaamsha matamanio kwa vijana wakaibe

Sinunui za wizi,nanunua za dili maana yake sio zilizotoka direct dukani labda mtu alikua nazo nyumbani tu na akaishiwa hela ya ujenzi so ndio hizo nazitaka za wizi sinunui sawa?
 
Watu kama hawa ndio wanaopitilizia laana kwa familia zao masikini. Familia inaendelea kuteseka simply kwa sababu ya vitu vya wizi.
 
Sinunui za wizi,nanunua za dili maana yake sio zilizotoka direct dukani labda mtu alikua nazo nyumbani tu na akaishiwa hela ya ujenzi so ndio hizo nazitaka za wizi sinunui sawa?

Kinachoitwa dili siku zote huwa ni wizi, hakuna maelezo ya ziada! Wewe mwenyewe umekiri kuwa vitu vya dili huuzwa rahisi kuliko dukani, nani atakuuzia kitu kwa bei ya chini ya dukani alikonunulia?
 
SInunui vya wizi,nanua kwa mtu ambaye anazo tayari sio aende kuiba ndio aniuzie.....

Uta prove vipi kwamba si za wizi iwapo umetangaza mwenyewe unataka vitu vya dili? Kwa ufupi dili ni wizi
 
Sinunui za wizi,nanunua za dili maana yake sio zilizotoka direct dukani labda mtu alikua nazo nyumbani tu na akaishiwa hela ya ujenzi so ndio hizo nazitaka za wizi sinunui sawa?

twisting .... a beer can not turn into a wine ..... this is illegal tendering
 
Mkuu unahamasisha wizi? Unajuwa ukikamatwa na mali ya wizi na wewe mwizi?
 
Sinunui za wizi,nanunua za dili maana yake sio zilizotoka direct dukani labda mtu alikua nazo nyumbani tu na akaishiwa hela ya ujenzi so ndio hizo nazitaka za wizi sinunui sawa?

Acha kujitetea tumeshakuripoti kwa Kova lazima akushughulikie kwanza taarifa za kiintelejensia zinaonyesha wewe ni hatari kwa usalama wa majengo nchi hii bora umeweka namba yako hapa Kova lazima azae na wewe
 
Duu watu wana guts za ajabu sijui huyu jamaa ana undugu na EL,RA,Chenge na mafisadi papa wote? yaani hata aibu hana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom