Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
Au kinyamtindili ile ngoma ya wandengereko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msondo utauwezaa???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ushimen: Uchochezi huuWavulana mnamatatizo sana aiseeeeee.....
Kwahiyo kumbe ukioa na kisha iwe kwamba mwanamke hajui kupika, kumbe hilo ni kosa...[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Ebu ngoja kwanza.... yaani kweli mwanaume anaweza akamtaliki mke, eti tu kwasababu hajui kupika.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kungwi nimefikz kuna habari gani
Naunga mkono hoja mkuuHata awe msomi kiasi gani , kama hawezi pika hata uji ni tatizo kubwa sana
Alafu wachafu hadi jikoni...Wasichana wengi waliolelewa na house girls hawajui kupika, mama zao hawakuwafundisha kupika hata usafi wa mahali wanapolala hawawezi kufanya, Kuna mkoa nilikuwa nafanya shughuli zangu, nikapata kabinti kanasoma Chuo nilijuta ukimwona mrembo wa haja lakini mambo ya usafi na kupika ni zero nilimhurumia sana.
Kama ajui ajui tu ata ukimfundisha samaki mkunje angali mbichi ukimkunja akiwa mkavu anavunjika mkuu Ushimen:Moja ya wajibu wa mwanaume ni pamoja na kumfundisha ama kumuelekeza mke.
Kutokujua kupika kwa mke, hilo sio kosa bali mwanaume anapaswa amuelekeze mkewe apike aina ya chakula kama inavyo mpendeza yeye mume
Mie nimetega sikio hapa mkuuWe ni balaa unaweza ukamkamata mwanaume akasahau kwake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kumbe mambo ni marahisi kiasi hicho? Ngoja nianze zoezi nitakupa mrejesho baada ya siku 7
Yote kwa ajiri ya Upendo mkuuHivi kwa nn mliniita huku jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inawezekana aliwahi date na mnyatuzu ambaye hana kazi afu akamuumiza ndio maana yuko hivo kakalili kila mwanaume ni mnyantuzu
Okay, kwahiyo unataka niamini kwamba mke kama alitoka nyumbani kwao na hajui kupika ugali na mlenda, basi huyo dawa yake ni talaka kwasababu hata ukimfundisha na kumuelekeza hawezi akaelewa...[emoji53] [emoji53] [emoji45] [emoji45]Kama ajui ajui tu ata ukimfundisha samaki mkunje angali mbichi ukimkunja akiwa mkavu anavunjika mkuu Ushimen:
Kalikimbia jiko akiwa mdogo kwa wazazi wake ataweza kwa mumewe...matokeo yake
Kila kitu wanafanya house girl
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwanamke usipojua kupika ni msiba kama misiba mingine tu
Nimempenda uyo dada sio mchoyo wa fadhilaIlibidi wife awe anamsaidia kupika huku akimfundisha, jamaa alkua akimletea kila kitu apike vizuri lkn alkua akimwaga chakula maana mmewe alkua akishindwa kula, siku aliyoanza kupikiwa na wife(ila mmewe alkua hajui) jamaa alifarahi balaa akampa na sh laki 1 akaja kumpa wife 50.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bila shaka wewe ndio MSIBA anaozungumzia mleta uzi, Pambana kabla mazishi hayajafanyika
Ni kweli, na hata kabla huyo dada alikua akitaka amlipe lkn wife akakataa, ila baadae jamaa alimpa wife laki 2,Nimempenda uyo dada sio mchoyo wa fadhila
Lakini mtihani kweli