Noma sana

Noma sana

Kungwi nimefikz kuna habari gani
Itabidi tumafutie na kungwi akafundwe.. Cc @Shunie
Swadaktaaa na huyo ndio kungwi mwenyewee Shunie ukuje tafadhalii
Kumbe Shunie yuko njema eeeh! Nitamuomba anipe hilo darasa
[emoji23][emoji23][emoji23]msondo utauwezaa???
Yuko njema na sio mchoyo wa kushare maujanja..
Ngoja nianze urafiki nae
 
Wavulana mnamatatizo sana aiseeeeee.....
Kwahiyo kumbe ukioa na kisha iwe kwamba mwanamke hajui kupika, kumbe hilo ni kosa...[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Ebu ngoja kwanza.... yaani kweli mwanaume anaweza akamtaliki mke, eti tu kwasababu hajui kupika.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ndio maana najipendea mijibaba, hawa wavulana ni shida[emoji53][emoji53]
 
Kama kitandani uko vizuri sio mbaya shost...[emoji16]jitahidi tuu hata kutengeneza saladi
Wasichana wengi waliolelewa na house girls hawajui kupika, mama zao hawakuwafundisha kupika hata usafi wa mahali wanapolala hawawezi kufanya, Kuna mkoa nilikuwa nafanya shughuli zangu, nikapata kabinti kanasoma Chuo nilijuta ukimwona mrembo wa haja lakini mambo ya usafi na kupika ni zero nilimhurumia sana.
 
@Thad anataka darasa la chumbani
Dada kungwi.... Samahani naomba unifundishe ya kitandani!
Akikujibu uniite
Hakuna shida kungwi nimefika kwanza hutakiwi kushindana na mwanaume akiwa juu shuka umekosea muombe msamaha sio tena umekosea na ww tena unapanda juu hautakiwi hivyo

Kwenye darasa la chumbani tunaanza na uvaaji wa shanga kwanza utaweza kwanza
 
Wasichana wengi waliolelewa na house girls hawajui kupika, mama zao hawakuwafundisha kupika hata usafi wa mahali wanapolala hawawezi kufanya, Kuna mkoa nilikuwa nafanya shughuli zangu, nikapata kabinti kanasoma Chuo nilijuta ukimwona mrembo wa haja lakini mambo ya usafi na kupika ni zero nilimhurumia sana.
Ungemfunda...
 
Back
Top Bottom