maniga2018
Member
- Sep 7, 2018
- 37
- 89
Mwanamke mapishi + Kitandani kama vyote uwezi nakurudisha kwenu hata mwezi aufiki.
[emoji2]hata saivi nina ka job. So tutatunzana ki mtindoPata teuzi kwanza halafu ndio urudi kwake hatutaki kulea marioo
[emoji7]kazi nimeionaHaya hubby to be, si umeona kazi nzuri ya makungwi? Hii yote ni kwa ustawi wa ndoa yetu tarajali, sasa naomba hela tuwafute jasho namaanisha tuwape asante!
KaribuniWanaume wanaruhusiwa kuudhuria hilo darasa?
Week ijayo darasa linaanza
Karibu mama
Oonhooo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kungwiiii[emoji108][emoji108][emoji108]nakojoaa mm...
hata usipojua kupika, ukinipenda yatosha, mengine tutafundishana mbele ya safariNitakuja mnifundishe kupika, mwenzenu najua kupika chai tu
Usijali kabisaMkiivisha niiteni nije kutest.
Mbinu gani alipewa?Mdada Jirani yetu miaka 30+ ilibaki kidogo aachike, hadi leo anamshukuru wife, kushika mimba tabu + kupika hajui ilkua taabu kwelikweli, sema sasa wana watoto wawili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MMU naona imevamiwa na ya jukwaa pendwa, ngoja nimuite wife aje kuongeza maujuzi,Ewaaaa
Kidogo kidogo unajiangalia kwenye kioo unakizungusha
Jumamosi nimoKaribuni
mimi nataka asiyejua chochote kitandani, hata asipojua kupika nalo sio tatizo tutafundishana.Kama kitandani uko vizuri sio mbaya shost...[emoji16]jitahidi tuu hata kutengeneza saladi
yap hapo roho yangu kwatu[emoji23]Huko kitandani kwenyewe najua kulala na kujifunika tu[emoji23]
Oooyyyooo can't wait...naomba tukumbushane tyuu[emoji91][emoji91]Week ijayo darasa linaanza
Asantee, naisubiri,Wewe ntakupa ratiba yako
Mmhhmimi nataka asiyejua chochote kitandani, hata asipojua kupika nalo sio tatizo tutafundishana.
ukiwa vizuri kitandani kupitiliza inanipa maswali sana.
Hupendo huvuvumilia yote, ntakuvumilia ukijifunza kupika nikiwa mwalimu wako.
Thad