Noma sana

Noma sana

Kwamba mke kama hajui kupika, basi hakumu yake ni talaka...tehteehh
Sasa wahivi akimfumania mkewe, sindio atamuhukumu auwawe kabisa...[emoji52] [emoji52]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nitarudi baadae mkuu
 
Okay, kwahiyo unataka niamini kwamba mke kama alitoka nyumbani kwao na hajui kupika ugali na mlenda, basi huyo dawa yake ni talaka kwasababu hata ukimfundisha na kumuelekeza hawezi akaelewa...[emoji53] [emoji53] [emoji45] [emoji45]
Mkuu, binafsi sikubaliani na hii hoja ya kufukuza mke kwakua tu eti hajui kupika.
Hili swala la kumuhuku mke kwamba hajui kupika (hajui kupika nini) ni jambo la kulitazama kwa jicho la 3. Kwasababu watu tumetoka kwenye familia na mazingira tofauti sana.
Kwamfano wapo waliotoka kwenye familia zilizo kula Pizza & Juice, Ndizi/Mtori & Chai, Wali & Nyama, Ugali & Mlenda, Makande & Njegere and Ect:
Sasa kidogo napata ugumu sana kukabiliana na hili la kwamba mke afukuzwe eti kwasababu hajui kupika.
Mie naachana nae tu mkuu silishwi mazagazaga mimi...uvumilivu una kikomo chake pia

Kama kalikimbia jiko kwa wazazi wake toka utotoni mie nitamuweza wapi
 
Mwanamke asipojua kupika na akawa hovyo kitandani huyo siyo mwanamke ni msela mwenzio tu.
 
Mie naachana nae tu mkuu silishwi mazagazaga mimi...uvumilivu una kikomo chake pia

Kama kalikimbia jiko kwa wazazi wake toka utotoni mie nitamuweza wapi
Basi naunga mkono hoja...[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom