[emoji482][emoji482]Naja mbio
[emoji16] hilo sio kabila langu bnaWe mnyantuzu nini lakini? Usiku hulali mchana hufanyi kazi u mwanaume gani wewe![emoji53]
Hatukujua leo kungwi kama ungekuwa [emoji91][emoji91][emoji91]tulijua bado uko msondo hujatoka bado kwa wali wako...[emoji23]
Nisamehe bure kungwi wangu, ilitokea dharura
Mwali wetu ana adabu mashAllah hakika ataelewa mapema mnooo[emoji108]Hahhahaha Thad alivyoongea kwa upole
Nazijua mimi na wewe wife to be[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utamuweza huyo, akili zake anazijua mwenyewe
Mwali wetu ana adabu mashAllah hakika ataelewa mapema mnooo[emoji108]
KabisaaaaSanaaaa hatatutia aibu
Na mimi [emoji115]Jumamosi ijayo..
Inawezekana aliwahi date na mnyatuzu ambaye hana kazi afu akamuumiza ndio maana yuko hivo kakalili kila mwanaume ni mnyantuzuWanyantuzu wamekukosea nn jamani kabila la babe wangu Wick
Nazijua mimi na wewe wife to be
Japo unanichukulia poa unahisi sina job[emoji16]
Inawezekana aliwahi date na mnyatuzu ambaye hana kazi afu akamuumiza ndio maana yuko hivo kakalili kila mwanaume ni mnyantuzu
Teh tehAnaogopa asije akapata marioo uwoga lazima
Tumewasamehe mkuuJamani naomba msamaha hilo kabila kwa niaba ya babe wangu mtusamehe
Pata teuzi kwanza halafu ndio urudi kwake hatutaki kulea mariooTeh teh
Jana usiku nimempa CV yangu sjui hakuamini.nimemwambia natokea chato kwa uncle so nasubiri teuzi
AsanteniTumewasamehe mkuu
Wewe ntakupa ratiba yakoNa mimi [emoji115]
Haya hubby to be, si umeona kazi nzuri ya makungwi? Hii yote ni kwa ustawi wa ndoa yetu tarajali, sasa naomba hela tuwafute jasho namaanisha tuwape asante!Nazijua mimi na wewe wife to be
Japo unanichukulia poa unahisi sina job[emoji16]