Noma sana

Noma sana

Hakuna shida kungwi nimefika kwanza hutakiwi kushindana na mwanaume akiwa juu shuka umekosea muombe msamaha sio tena umekosea na ww tena unapanda juu hautakiwi hivyo

Kwenye darasa la chumbani tunaanza na uvaaji wa shanga kwanza utaweza kwanza
Hayo ya kupanda na kumshukia mwanaume nayajua shida iko kwenye huo ulingo wa kuvaa shanga.
Tawire kungwi wangu! Nitaweza[emoji85][emoji85]
 
We ni balaa unaweza ukamkamata mwanaume akasahau kwake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna shida kungwi nimefika kwanza hutakiwi kushindana na mwanaume akiwa juu shuka umekosea muombe msamaha sio tena umekosea na ww tena unapanda juu hautakiwi hivyo

Kwenye darasa la chumbani tunaanza na uvaaji wa shanga kwanza utaweza kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kungwiiii[emoji108][emoji108][emoji108]nakojoaa mm...
 
Hayo ya kupanda na kumshukia mwanaume nayajua shida iko kwenye huo ulingo wa kuvaa shanga.
Tawire kungwi wangu! Nitaweza[emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujitahidi uvae hata mbili lakini shanga zinapendeza kuvaa mbili au 3 usizidishe zaidi ya hapo itakuwa mauchafu

Shanga inamsisimua mwanaume akiziona na vile akiwa anakuchezea kiunoni acha kabisa

Kingine kiuno vipi unajua kukata
 
We wa kiasili kabisa hutaki gold wala silver, tatizo shanga mnaweka mizizi ya kuvutia wanaume[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujitahidi uvae hata mbili lakini shanga zinapendeza kuvaa mbili au 3 usizidishe zaidi ya hapo itakuwa mauchafu

Shanga inamsisimua mwanaume akiziona na vile akiwa anakuchezea kiunoni acha kabisa

Kingine kiuno vipi unajua kukata
Asante kwa somo la shanga. [emoji120] [emoji120]
Kiuno kigumu kama vyuma ya anko Magu[emoji85][emoji85]
 
Back
Top Bottom