Noma sana

Noma sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mm ebu uwe unakilainisha basi shika kiuno na mikono yako miwili uwe unapeleka kushoto na kulia kushoto na kulia inakuwa kama zoezi lako kama siku 7 hivi kiuno chenyewe kinakuja kulainika
Asante kwa somo la shanga. [emoji120] [emoji120]
Kiuno kigumu kama vyuma ya anko Magu[emoji85][emoji85]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mm ebu uwe unakilainisha basi shika kiuno na mikono yako miwili uwe unapeleka kushoto na kulia kushoto na kulia inakuwa kama zoezi lako kama siku 7 hivi kiuno chenyewe kinakuja kulainika
Hivi kumbe mambo ni marahisi kiasi hicho? Ngoja nianze zoezi nitakupa mrejesho baada ya siku 7
 
Back
Top Bottom